Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Niliwaza sana kuhusu huyu jamaa, hata kuna washikaji nakawasimulia kumhusu... Alipotea ghafla..!
 
Tarehe 8 mpaka leo 18...

10 days Mshana Jr. Hebu tujuze za huko ulipokuwa??

Au ulienda tafuta dawa??
 
bora umekuja master vijana wako tulipata hofu sana.maana tunategea siku moja ututoe mahali flani
 
Alikua korea kuchukua mzigo wa viatu hivyo wale wahitaji mumuone , anauza jumla kwa bello moja dolla 70 au laki moja na nusu ya kitanzania ni vyema wahitaji mumfwate pm huyu mjasiliamali Mshana Jr
 
Isijekuwa mshana Jr ndiye Scorpion..![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yuko kwenye vikao na wachawi wenzake . Wana mkutano mkuu wa wachawi wa kila mwaka na kwa mwaka huu wanafanyia chato .
Nimecheka mpaka abiria wenzangu wamenishangaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Atakuwa ameenda Msoga kumuuliza Jk kwa nini alikubali kumwachia kiti huyu jamaa na kusababisha leo hii watu Wanalia..!!!
 
mshana jr ni mshirikina na mkuu wa wachawi humu JF, atakuwa ameanguka na ungo kwenye ile ajali ya Mbagala. RIP mshana jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…