everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Duhhh!!!! Bora umeonekana!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] siku nilitaka kufa nitatoa taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duhhh!!!! Bora umeonekana!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] siku nilitaka kufa nitatoa taarifa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mi sipo!!au mshana ndio scopion mwenyewe nini
Niliwaza sana kuhusu huyu jamaa, hata kuna washikaji nakawasimulia kumhusu... Alipotea ghafla..!Wandugu,
Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.
Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.
NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia mara ya mwisho alionekana na kikapu njia panda ya makuyuni.
Duh! ngoja aje me ntakuwa nje ya ulingo nachek makonde! adushuaa!Ningesema kitu...asije akaniloga bure!!!
Duh! ngoja aje me ntakuwa nje ya ulingo nachek makonde! adushuaa!
Isijekuwa mshana Jr ndiye Scorpion..![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wandugu,
Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.
Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.
NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.
😀😀😀Ashakuja mkuu.....mtoa mada kakimbia sijui ndio amelogwa.......
Nimecheka mpaka abiria wenzangu wamenishangaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yuko kwenye vikao na wachawi wenzake . Wana mkutano mkuu wa wachawi wa kila mwaka na kwa mwaka huu wanafanyia chato .
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yuko kwenye vikao na wachawi wenzake . Wana mkutano mkuu wa wachawi wa kila mwaka na kwa mwaka huu wanafanyia chato .
Ulikuwa Ngende nn? Maana kule hawaruhusu kutumia simuSafe n sound dada
mshana jr ni mshirikina na mkuu wa wachawi humu JF, atakuwa ameanguka na ungo kwenye ile ajali ya Mbagala. RIP mshana jrWandugu,