Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

mfanye church nenda nae day 1, day 2, day 3 unakula mzigo umaamsha zako.... mbona umepata mawazo nae wanawake si tupo wengi? au ni mtamu sana??
mtamu kiaina siunajua walokole 🤣🤣🤣
but nitafata ushauli wako
 
Hizi mbinu za kivita hizi ulisomea wapi...
Ni mambo ya wataka vya uvunguni hayo....
kuna jamaa yeye alikua kila akipiga sound binti wa kilokole haelewi, ikabidi amfate huko huko church akaanza kupiga na kinanda binti akatoa mzigo, jamaa kajilia akarudi mtaani kuendelea na maisha ndio mwisho wa kupiga tena kinanda na kwenda church
 
huyo baharia noma🤣🤣🤣
 

Naam, kama jasusi vile...😊

Ingawaje sio poa sana, wachuchu mpo wengi sana, mchuchu mmoja akileta mizinguo na ukiona humsomi, unatafuta mchuchu mwingine tu...
 
Naam, kama jasusi vile...😊

Ingawaje sio poa sana, wachuchu mpo wengi sana, mchuchu mmoja akileta mizinguo na ukiona humsomi, unatafuta mchuchu mwingine tu...
kuna watu wana utamu extra inabidi kumkimbiza tu kama mtetea vile....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atakuwa ndo yule demu amefanikiwa kujenga vyumba viwili na kuacha msingi upande mwingine kwa hiyo anaona humsumbui kwa lolote, la kufanya achana nae tu maana anaelekea miaka 40 hana mtoto wala kuolewa acha abaki na mbususu yake imchachie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…