The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mdini wewe.Natamani afe
Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Kikchwa cha habari kiko wazi. Je, tutegemee yale ya Kassim Majaliwa na kifo cha Magu? Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha?
Yuko wapi Samia?
We kijana usilete mambo ya hovyo hapa, mambo ya udini umeona amezungumzia wapi hapo?Mdini wewe.
Jana si nimesikia alifanya shughuli gani sijui na ilikuwa live! Au niliona vibaya?
Kwani mpaka sasa hujuikuwa mama ni mti mkavu na chuma cha pua. Ingia barabarani uhakikishe.Akivuka tarehe 17 Machi 2026 basi hao waganga wake ni noma...atakuwa Chuma cha Pua kweli kweli
Wenye akili huona mbali na katika kiini.We kijana usilete mambo ya hovyo hapa, mambo ya udini umeona amezungumzia wapi hapo?
Aisee...Video za enzi
Akili gani ulizonazo za kupandikiza chuki za udini, siku nyingine jalibu kutafakari mambo kabla ya kuamua.Wenye akili huona mbali na katika kiini.
Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!Kikchwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha?
Yuko wapi Samia?
Ni kweli ila ni kwa mataahira ambao hawawazi kusoma na kuambua kitu hapa. karibu sana.Mdini wewe.
Una maana huyu ni Mullah Omar wa kike toka Kizinkazi na si Kandahar? KkkkZamani Afghanstan kulikuwa na Rais wao anaitwa Mullah Omar, alikuwa anapenda sana kujificha na kutoonekana hadharani