The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
- Thread starter
-
- #21
Hee. Usiwe na shaka atakufa tu.Natamani afe
Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Ile hotuba ya siku Ile alipanick akaharibu hivyo itakuwa wamemshauri atulie kwanza asionekane public ili hasira za watu zipungue kwanzaKikchwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha?
Yuko wapi Samia?
Go tell it to the birds please.Bibi yenu anapikwa chemba uko akitoka mtampenda wenyewe waganga wake sio waongo
Ingekuwa spinning wasingefanya yale maigizo ya janaHii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!
Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12
Iko hivi tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!
Think beyond the box!...
mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
Wewe una jicho la ziada mwanangu. Let's hope itakuwa kweli ili tuanze kusherehekea kwa masikitiko. KkkkIngekuwa spinning wasingefanya yale maigizo ya jana
Spinning ndivyo hufanywa hivyo ndugu, kwa mizania ya 60/40 Ili wengi wabaki na maswali mengi kuliko majibu! Hiyo ndiyo SpinningIngekuwa spinning wasingefanya yale maigizo ya jana
This is getting out of hands now!!Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!
Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12
Iko hivi tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!
Think beyond the box!...
mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
Ushahidi ni upi kwamba yalikuwa maigizoIngekuwa spinning wasingefanya yale maigizo ya jana
Mauaji ya Halaiki yangekuwa yanasahaulika kwa staili hii, maisha ya madikteka yangekuwa simpo sana. Ua maelfu halafu jifiche watasahau...Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!
Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12
Iko hivi tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!
Think beyond the box!...
mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
Ataibuka Christmas or new year 2026Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Fala wewe.Kwani mpaka sasa hujuikuwa mama ni mti mkavu na chuma cha pua. Ingia barabarani uhakikishe.
Mtimkavu kajificha chooniKwani mpaka sasa hujuikuwa mama ni mti mkavu na chuma cha pua. Ingia barabarani uhakikishe.
Kwamba watu watamjadili yeye halafu wasijadili kabisa MATENDO yake?.Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!
Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12
Iko hivi tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!
Think beyond the box!...
mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!
Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12
Iko hivi tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!
Think beyond the box!...
mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
Kwamba hao waganga wanaweza kutupambaza hadi Sisi 'Wana wa Nuru'?Bibi yenu anapikwa chemba uko akitoka mtampenda wenyewe waganga wake sio waongo
Mkuu shetani ni haki yake kuchukiwa.Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Nakuwaje mdini wakati nilimpenda sana Samia alipoingia madarakani mwaka 2021? Nakuwaje mdini wakati Majaliwa namkubali sana, mbona na yeye muislamu?Mdini wewe.
Tunampenda sisi wenye akili timamuYani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje