PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Weka picha kwenye screensaver utamuona kila wakati
 
Hao viongozi wako unaowaita wenye akili timamu, ndio wameifungia Jamii Forums hadi leo tunapata shida kuaccess mpaka tutumie VPN
Sasa jamii forum ni yakulilia🤣
Mkiambiwa hamna akili mnakuwa wakali
 
Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje

Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
29 Oktoba itabidi tuifanye siku ya kitaifa, kukumbuka usaliti tuliofanyiwa na wanasiasa, baada ya wao kupeleka familia zao hotelini kisha kutuuza sisi raia kwa wanajeshi wa uganda na askari kanzu watuue, hali wakijua ukweli kwamba raia hatuna silaha kama askari na walikuwa hawachagui wakuua.
 
Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje

Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Ni kawaida watu wema kuuchukia uovu nakumchuki mtenda maovu ya kutisha mauaji. Hakun mtu mwema anayeweza kumpenda muuaji.
 
Kikchwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha?

Yuko wapi Samia?

Akivuka tarehe 17 Machi 2026 basi hao waganga wake
Nyie wapumbavu na Matahira tulieni.
Si mlisema amekufa endeleeni kufanya sherehe za kushangilia kifo chake. Mkimaliza ingizeni pua zenu barabarani tuzikate ndipo mtajuta kuwa yuko hai

Mabeberu wanampenda hawawezi kumfanya kitu
 
Wanatupigia ngoma na tunaicheza ,wanacreate attention tuanze kumdiscuss Bibi Chura huku tukiacha mijadala ya maandamano na uhaba wa maji.
 
Ile hotuba ya siku Ile alipanick akaharibu hivyo itakuwa wamemshauri atulie kwanza asionekane public ili hasira za watu zipungue kwanza
Kuna wapumbavu walimkatisha kwakuamzisha li wimbo ilibidi wamwachie aropoke yote
 
Haihitaji akili kubwa..

Wamefanikiwa kubadili upepo na activist wote wamefuata blindly.

Wapo busy na story za kifo, majizo na makosa ya waziri mkuu.

Kiufupi.. Narrative wamefanikiwa kuibadilisha
 
Michezo tu hiyo yupo mzima wa afya.
 
Sasa unamchukia samia kwa kilicho tokea October 29 kwani yete ndo aliye watuma muende kuiba mali za watu,mchome mali za watu,mharibu miundo mbinu ya raia kwa kisingizio cha masndamano?
Hapa duniani hakuna serikali yeyote inayo weza kuvumilia upumbavu mlio ufanya tarehe 29 narudia tena hakuna.
Kwanza hata serikali ya tz bado inapwaya kwani unadhani huu ujinga ungetokea Rwanda hawa wana harakati uchwara walio jificha hapo kenya kuna hata mmoja ngekuwa hai mpaka sasa?
Alafu kingine dhambi hapa duniani sio kuuwa tu wenda ww ni mchafu mara mia ya samia mbele ya mungu.
 
DR.SAMIA SULUHU HASSAN chapa kazi kisawasawa mama,
We are proud over you and we are always praying for you.

makhulukhutabi yanahaha na porojo za patapote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…