G
Watakwambia ana create attention ,ana puma upepo ili kuua attention ya maanadamno ndo majibu tuliyopewaKichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Haupopekeyako..Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Mpk kuchukiwa huku ujuwe alipikwa haswa na bado imeshindikanaBibi yenu anapikwa chemba uko akitoka mtampenda wenyewe waganga wake sio waongo
Kaka huwezi kunizidi mie.Yani nikiona msura wake tu siku yangu nzima imeharibika na naomba Mungu kila siku afanye jamboYani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje
Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
Kichwa maji!Mdini wewe.
Do limeludi hili pia lichawa, jf mnajua cha kufanya ikiwapendeza.DR.SAMIA SULUHU HASSAN chapa kazi kisawasawa mama,
We are proud over you and we are always praying for you.
makhulukhutabi yanahaha na porojo za patapote
Sasa Mama watoto mtarajiwa 9 December, nimeifanya kikamilifu, naomba niambie mahali wazee wanataka kiasi gani, pili uwe tiyari kuacha kazi za kilaana ,thanksNyie wapumbavu na Matahira tulieni.
Si mlisema amekufa endeleeni kufanya sherehe za kushangilia kifo chake. Mkimaliza ingizeni pua zenu barabarani tuzikate ndipo mtajuta kuwa yuko hai
relax gentleman,Do limeludi hili pia lichawa, jf mnajua cha kufanya ikiwapendeza.
Haya ndo yamelifikisha Taifa hapa tulipo , pumbavu kabisa
Una mke mzuri, mtunze.Tangia nimepoteza vijana wangu, natamani sasa hanza kunywa wine ,naombeni mnisaidie ipi inaweza nifaa, sijawahi tumia kileo chochote , ila nipo upweke sana, na kipindi hiki nimejua mke bora ni nguzo ya familia ,maana bila uyu mama ,mke wangu nafikili mpaka mda huu ningelisha zikwa , matumaini anayonipa uyu mama (mke wangu) Mungu amwongezee maisha 9D nilipeleka pembeni mwa mji lakini alirudi na kuniambi ,tumefiwa vijana wetu, hacha kama kufa tufe wote , kwani ukifa na kuniacha naishi vipi, nimemshangaa sana uyu mama angu (mke wangu)
Hizo silaha ndio zinawatia kiburi kumbe sasa endeleeni kuomba Mungu hizo silaha wasishike wananchi maana tutawapukutisha kama changalaweeti?
nyie malofa wa kifikra,
mbona dec.9, mmewagomea useless activists kwa kutojitokeza kwenye maandamano haramu ili muwe wa kwanza kua posted mitandoni mkiwa mmekufa au kuumizwa?
au hamuipendi tena hiyo zawadi?
Fanya hivi...jitayarishe kisaikolojia na habari mbaya ili hata ikija habari nzuri moyo wako ufurahi....sasa hapo kwenye habari mbaya au nzuri utajua mwenyewe uweke habari ya aina ganiKichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Hu mpambavu ,nilikwambia mwaka huu hakuna uchaguzi , aya nipinge mpaka sasa upo au haupo?relax gentleman,
punguza mihemko nonsense kwenye mambo ya msingi
DeadKichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?
Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?
Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?
Yuko wapi Samia?
Mungu angekuwa anafanya kazi kwa mawazo yako basi hata ww usingekuwa duniani maana hata ww ni mchafu tu kama samia sema mnatofautiana aina ya dhambi mlizo zifanya.Kaka huwezi kunizidi mie.Yani nikiona msura wake tu siku yangu nzima imeharibika na naomba Mungu kila siku afanye jambo
Mzee hakuna spinning inayoweza kuzima mauaji?Spinning ndivyo hufanywa hivyo ndugu, kwa mizania ya 60/40 Ili wengi wabaki na maswali mengi kuliko majibu! Hiyo ndiyo Spinning
Hakuna Spinning ya nyuzi 360! Hiyo haipo duniani kote! Hiyo inakuwa sio Spinning!.
Mtu kama IDD amini anakumbukwa mauaji take kuliko hata father of the nation wa Uganda Mr OboteMauaji ya Halaiki yangekuwa yanasahaulika kwa staili hii, maisha ya madikteka yangekuwa simpo sana. Ua maelfu halafu jifiche watasahau...
Uchafu gani unazidi kuua maelfu ya Watanzania?Mungu angekuwa anafanya kazi kwa mawazo yako basi hata ww usingekuwa duniani maana hata ww ni mchafu tu kama samia sema mnatofautiana aina ya dhambi mlizo zifanya.