PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Fanya hivi...jitayarishe kisaikolojia na habari mbaya ili hata ikija habari nzuri moyo wako ufurahi....sasa hapo kwenye habari mbaya au nzuri utajua mwenyewe uweke habari ya aina gani
Ndiyo maana nilisema suala la kujitayarisha kisaikolojia...ukisikia habari nzuri jifanye kama siyo kweli ili ikiwa siyo kweli uwe umejiandaa ....hapo habari nzuri unaweza kujaza mwenyewe ni ya aina gani
 
Yani huyo mama namchukia kinoma, namchukia kutoka moyoni. Simpendi hata kidogo mpaka najiuliza imekuwaje

Maana haijawahi kutokea nikamchukia mtu namna hii. Mungu anisamehe
MTU Ana miaka 65 unamuombea KIFO kweli

Huu utoto ndo unafanya muonekane watz hampo serious
 
Dhambi hapa duniani sio kuuwa tu usije kushangaa ww ukawa mchafu na shetani mbele ya mungu mara 100 ya huyo samia.
Mkuu utakuwa umetumia "mataputapu" yenye machicha mixer gongo. Yaani unilinganishe na shetani samuya aliyeuwa watu 10k+??!
 
A
Yupo mapumzikoni anakula urojo.
 
Kazuiwa kuongea kwani kila akiongea analikoroga.
 
Ulianza vizuri kuandika hapo juu, na kidogo nikuamini. Lakini hapa chini ndio umeonyesha sura yako halisi. Yaani umeshindwa hata kuvumilia kidogo ili uhadae watu. Kweli shetani ni shetani tu, hata akija na sura ya malaika.

Lakini si ni kweli wale masheikh waliongea pumba tupu? Au hatukuskia agizo la kukatana vichwa!??
 
Ulianza vizuri kuandika hapo juu, na kidogo nikuamini. Lakini hapa chini ndio umeonyesha sura yako halisi. Yaani umeshindwa hata kuvumilia kidogo ili uhadae watu. Kweli shetani ni shetani tu, hata akija na sura ya malaika.
Lakini masheikh wa Samia ni wapumbavu ndio. Wao ndio wanajaribu kuleta udini hapa Tanzania
Acha kujifanya huelewi namaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…