Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.

Aisee nimeerogwwaa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭

Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwa nini huu ugumu wote huuu.

Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu,

Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukataa mmbaya nikaambulia madeni,.

Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
unauza bidhaa gani? alafu nani anakukimbiza? tulia uandike vizuri
 
Back
Top Bottom