Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Sijajua wewe ni dini gani? Ila kuna kitu kinaitwa fungu la kumi.........
Amka asubuhi na mapema omba, kabla haujafungua biashara omba, unqvyofunga biashara omba ukiuza sana mwambie Mungu ahsante, usipouza kabisa mwambie Mungu ahsante then toa fungu la kumi kila mwisho wa mwezi ikiwezekana funga kuiombea biashara yako na cha mwisho kabisa jinenee mazuri kwenye biashara yako na kwa kila jambo lako hakuna kitu kina nguvu kama maneno
Mungu alisema na iwe nuru kukawa na jua maneno maneno jinenee maneno positive ndugu yangu (KILA LAKHERI) 🙏🏽
 
Mkuu ule upepo wako wa mwanzani unaifungua hiyo biashara Yako ndio upepo wako halisi, pambana ulejeshe Hali yako ya awali. Maisha ni vita boss
Nifanyeje mkuu, tafadhari nisaidie nijue cha kufanya

Watoto wangu mkuu watoto wanngu mkuu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Kak
Ahsante hata nilidhani nimemaliza kuandika

Yani moyo wangu umekuwa mzto

Ni kwl waganga wapo au ni stori tu mkuu
#swala la kuwepo kwa waganga sio swala fikirishi maana hata maandiko yanasema hao watu nikweli wapo_shida kumpata wakweli napia kuutumikia uchawi nayo pia nikazi nyingine maana ukishaingia huko kutoka huwezi
 
Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.

Aisee nimeerogwwaa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭

Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwa nini huu ugumu wote huuu.

Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu,

Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukataa mmbaya nikaambulia madeni,.

Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
Aina ya biashara
 
Sijajua wewe ni dini gani? Ila kuna kitu kinaitwa fungu la kumi.........
Amka asubuhi na mapema omba, kabla haujafungua biashara omba, unqvyofunga biashara omba ukiuza sana mwambie Mungu ahsante, usipouza kabisa mwambie Mungu ahsante then toa fungu la kumi kila mwisho wa mwezi ikiwezekana funga kuiombea biashara yako na cha mwisho kabisa jinenee mazuri kwenye biashara yako na kwa kila jambo lako hakuna kitu kina nguvu kama maneno
Mungu alisema na iwe nuru kukawa na jua maneno maneno jinenee maneno positive ndugu yangu (KILA LAKHERI) 🙏🏽
#USHAURI MZURI SANA HUU
 
Back
Top Bottom