Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Pole sana mkuu.
Awali ya yote ni upitie mbinu zote za biashara uone kunamahala umekosea ama la!

Pili kuangalia wenzio wanauzaje na wewe vip. Alafu angalia kama kunamabadiliko yoyote umefanya au wenzio umefanya

Mwisho
Imani yako uikumbuke na uipandishe kwa hali ya juu
 
Tumia mkojo wako wa asbubui nawa mikono na uo mkojo mwingne utie kweny maji ogea mwingne tia kweny maji mwaga mbele ya duka lako kama unatoa vumbi, kama unaweza kunywa piga ata fundo moja
Ahsante mkuu,

1: Imewahi kukusaidia?

2: pia nafanya mara ngapi (wiki, etc)

Karibu
 
Tumia mkojo wako wa asbubui nawa mikono na uo mkojo mwingne utie kweny maji ogea mwingne tia kweny maji mwaga mbele ya duka lako kama unatoa vumbi, kama unaweza kunywa piga ata fundo moja
Mwambie pia adekie na maji ya chumvi ya mawe atie kidogo na asali mbichi kama ni Hali ya mkono wa mtu itapotea duka litavutia
 
Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.

Aisee nimeerogwwaa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭

Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwa nini huu ugumu wote huuu.

Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu,

Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukataa mmbaya nikaambulia madeni,.

Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
Umeiba sehemu ya Mungu ambayo ni zaka na malimbuko
 
Back
Top Bottom