FORBIDDEN HISTORY
Senior Member
- Jul 28, 2024
- 125
- 224
Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu.
Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu.
Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukata mbaya nikaambulia madeni
Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭