Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Kuna New cancer drug imegundulika una uwezo wa kuuwa latent HIV infected cells. Bado wanaifanyia further research.

Zali tu jamaa alikuwa na HIV na cancer. Dawa imeua HIV latent cells pia.
 
We jamAa samahani kwa kukuita kilaza, ila wewe ni kilaza
 
We jamAa samahani kwa kukuita kilaza, ila wewe ni kilaza

Nakubali kaka. Wewe upo vizuri ila huna hoja. Completely out. Msubiri Deception aje kama huwezi kuelezea ukilaza wangu kwa kupinga nilichosema hapo juu.

Watu bwana. Lakini nimekupa like.
 
Kuna Virusi maelfu kwenye hii dunia. Kinga ya mwili itapungua kama askari wazuri watashindwa kuulinda mwili, hii haina maana hakuna HIV. Get it.

Hao askari wanapimwaje ubora wao? Kama ni chanya au hasi?
Huo ubora ni unaitwaje ? Chanya au Hasi?
Kwa lugha zenu za kitabibu.
 
Hao askari wanapimwaje ubora wao? Kama ni chanya au hasi?
Huo ubora ni unaitwaje ? Chanya au Hasi?
Kwa lugha zenu za kitabibu.

Kaka, tunajaza server za watu bure. Hakuna unachosema wewe binafsi. Sana sana unauliza maswali. Mimi nikiuliza maswali unajibu kwa maswali.

Kinga ya mwili haina hasi wala chanya. Askari wazuri wanaitwa white blood cells, wakiwa wengi CD4 zako zinakuwa nyingi, maana yake kinga yako ipo vizuri. Wakiwa wachache, CD4 zinakuwa chache, maana yake kinga yako sio nzuri.

HIV ipo pale pale...... pale pale.......
 
Unachanganya madesa mzee usiseme HIV iko paleplae ww huongelei HIV unaongelea AIDS.hapo mkikosa umakini tutajadili vitu nje ya muktadha. Lzm tujue kutofautisha kati ya HIV na AIDS kisha unapojadili jikite kutumia neno sahihi
 
Unachanganya madesa mzee usiseme HIV iko paleplae ww huongelei HIV unaongelea AIDS.hapo mkikosa umakini tutajadili vitu nje ya muktadha. Lzm tujue kutofautisha kati ya HIV na AIDS kisha unapojadili jikite kutumia neno sahihi
Nashindwa ngozi Joram nikujibu vipi? Nimejibu swali nililoulizwa. Hebu niambie nilipochanganya madesa?

Baada ya hapo fuatilia maswali ya chakochangu na majibu yangu.

Umeandika kwa uharaka bila kufuatilia mada.
 
Unachanganya madesa mzee usiseme HIV iko paleplae ww huongelei HIV unaongelea AIDS.hapo mkikosa umakini tutajadili vitu nje ya muktadha. Lzm tujue kutofautisha kati ya HIV na AIDS kisha unapojadili jikite kutumia neno sahihi
Huyo jamaa viroba vikimuisha atajua anachikiandika ni pumba au la
 
Ok lkn nilichotaka kuweka sawa ni kutofautisha kati ya HIV na AIDS. ss unapojadili kitu sema kama unataja HIV kumbuka unaongelea kirusi na kama unataja AIDS unaongelea hali dhoofu ya mfumo wa kinga.

Tujenge tu hoja vzr ila tusichanganye maana ya maneno kana kwamba ni synonimous terms
 
Someni Aids in Africa Uchambuzi wa Philippe Krynen( partage), huyu jamaa kaufanyia utafiti wake mkoani Kagera.
UKIMWI(AIDS) hausababishwi na HIV VIRUS,bali husababishwa na lishe mbovu, maji ya kunywa na matumizi mengine yasiyo salama,mazingira yasiyo salama.
HIV VIRUS Havikufanyiwa Isolate, Culture na taratibu nyingine zihusuzo virus. Wataalamu wa Baiolojia na kemia wataelezea zaidi juu ya hivyo vitu.
 
Wasomeni hawa wafuatao katika harakati zao juu ya Virus myth
Celia Faber,

Kawi Schneider,
Dr Harvey Bialy
Peter Scmidt
Robert Laar hoven
Joan Alicia Shenton.
Rebecca _ Does HIV really cause AIDS?

Angalizo: Baadhi yao washatangulizwa mbele ya haki kisa kwenda kinyume na matakwa ya biashara za wakubwa( Makampuni ya madawa).
Walio hai wanaishi maisha kama digidigi.

AIDS virus myth.
 
Bro tatizo liko hivi. Wazungu wameshaeneza propaganda kiasi cha kufanya kila mtu anaamini hivyo kuwa AIDS ni janga na linaletwa na HIV. ss changamoto iko kuwa hata tafiti za kugundua tatizo hatukufanya ss Africa au Tz ma tafiti za kugundua mchezo mchafu wa serikali ya wakubwa na amina Robert Gallo hatukufanya ss. Ss inahitaji ufuatiliaji mzr wa kina kwa akili isiyo biased ili kujifunza.
AIDS
EBOLA
GLOBAL WARMING nk ni hoax projects na tunapigwa hela vzr sana ktk hii miradi.

Na kwakuwa watu wengi wavivu kujifunza basi hua tunabishana kwa yalr yanayorushwa humu lkn hatuchukui further initiatives za kujaribu kuutafuta ukweli wa yanayosemwa.
 
Upo sawa.
Hata hivyo kuna waafrika wenzetu wananufaika ni hadaa hizo, ndiyo maana wanapigana kufa na kupona kutetea uongo wa HIV.
 
Upo sawa.
Hata hivyo kuna waafrika wenzetu wananufaika ni hadaa hizo, ndiyo maana wanapigana kufa na kupona kutetea uongo wa HIV.
Kuna siku Deception ktk moja ya maandiko yake alisema ss jamaa wana mpango wa kulazimisha mtu akipimwa akakutwa na maambukizi(feki) anaanzishiwa dawa (ARV)direct hata kama CD4 ziko 900.

Kwa wanaojua mtu alikua anaanzishiwa dose ikiwa cd4 zimeshuka hadi 250 hv lkn ss maadam tu umepimwa ukakutwa +ve unaanzishiwa.
Why this??jamaa waligundua watu wanapotezea dawa zao na hawaoni issue.
La ajabu haikupita muda waziri mwenye dhamana huyuhuyu akiyepo sasa akatangaza vilevile na vyombo vya habati vikaripoti na kumnukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…