Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni uongo. Prove hapa deception kafaJamaa kilichomuua ni hofu na kutokukubali hali halisi,nilizaliwa na Ukimwi lakini ukiniona hata kunihisi huwezi
We jamAa samahani kwa kukuita kilaza, ila wewe ni kilazaMkuu naomba atleast uwe unadadavua kitu kabla ya kuingia kwenye mada.
SD Bioline au Unigold sio microscope, huwezi ukaona kirusi pale. Hii ni rapid Test. Kwanini ni rapid test. Setting za afya za Afrika na remote areas hakuna umeme wala microscope, wagunduzi wakakaa na kutengeneza kifaa kitakacho detect antibodies za HIV. Zamani kupima majibu ya HIV yalikuwa yanachukua hadi wiki kutoka, mteja anaondoka na kuja kuchukua majibu siku nyingine, lakini leo ni dakika 15 au zaidi.
Sasa kama wewe unataka kuona HIV virusi nenda maabara.
Ngoja nikuulize swali. Unapopima mama ujauzito, kwenye ile strip ya mkojo, unampima mtoto au detection ya ujauzito?
We jamAa samahani kwa kukuita kilaza, ila wewe ni kilaza
Huyu ndio msomi nchi inamtegemea HahahahahaUmeona kanisa hapo ama msikiti.
Kapige kavu brother. Ukifa deception atazidi kusema hakuna HIV.
Huyu ndio msomi nchi inamtegemea Hahahahaha
Kuna Virusi maelfu kwenye hii dunia. Kinga ya mwili itapungua kama askari wazuri watashindwa kuulinda mwili, hii haina maana hakuna HIV. Get it.
Hao askari wanapimwaje ubora wao? Kama ni chanya au hasi?
Huo ubora ni unaitwaje ? Chanya au Hasi?
Kwa lugha zenu za kitabibu.
Unachanganya madesa mzee usiseme HIV iko paleplae ww huongelei HIV unaongelea AIDS.hapo mkikosa umakini tutajadili vitu nje ya muktadha. Lzm tujue kutofautisha kati ya HIV na AIDS kisha unapojadili jikite kutumia neno sahihiKaka, tunajaza server za watu bure. Hakuna unachosema wewe binafsi. Sana sana unauliza maswali. Mimi nikiuliza maswali unajibu kwa maswali.
Kinga ya mwili haina hasi wala chanya. Askari wazuri wanaitwa white blood cells, wakiwa wengi CD4 zako zinakuwa nyingi, maana yake kinga yako ipo vizuri. Wakiwa wachache, CD4 zinakuwa chache, maana yake kinga yako sio nzuri.
HIV ipo pale pale...... pale pale.......
Nashindwa ngozi Joram nikujibu vipi? Nimejibu swali nililoulizwa. Hebu niambie nilipochanganya madesa?Unachanganya madesa mzee usiseme HIV iko paleplae ww huongelei HIV unaongelea AIDS.hapo mkikosa umakini tutajadili vitu nje ya muktadha. Lzm tujue kutofautisha kati ya HIV na AIDS kisha unapojadili jikite kutumia neno sahihi
Huyo jamaa viroba vikimuisha atajua anachikiandika ni pumba au laUnachanganya madesa mzee usiseme HIV iko paleplae ww huongelei HIV unaongelea AIDS.hapo mkikosa umakini tutajadili vitu nje ya muktadha. Lzm tujue kutofautisha kati ya HIV na AIDS kisha unapojadili jikite kutumia neno sahihi
Hahaha Daudi1990 bahati nzuri au mbaya situmii kilevi.Huyo jamaa viroba vikimuisha atajua anachikiandika ni pumba au la
Wasomi uchwalaHuyu ndio msomi nchi inamtegemea Hahahahaha
Hakuambii kua wewe angalia vizuri.Hahaha Daudi1990 bahati nzuri au mbaya situmii kilevi.
Bro tatizo liko hivi. Wazungu wameshaeneza propaganda kiasi cha kufanya kila mtu anaamini hivyo kuwa AIDS ni janga na linaletwa na HIV. ss changamoto iko kuwa hata tafiti za kugundua tatizo hatukufanya ss Africa au Tz ma tafiti za kugundua mchezo mchafu wa serikali ya wakubwa na amina Robert Gallo hatukufanya ss. Ss inahitaji ufuatiliaji mzr wa kina kwa akili isiyo biased ili kujifunza.Wasomeni hawa wafuatao katika harakati zao juu ya Virus myth
Celia Faber,
Kawi Shneider,
Dr Harvey Bialy
PeterScmidt
Robert Laar hoven
Joan Alicia Shenton.
Rebecca _ Does HIV really cause AIDS?
Angalizo: Baadhi yao washatangulizwa mbele ya haki kisa kwenda kinyume na matakwa ya biashara za wakubwa( Makampuni ya madawa).
Walio hai wanaishi maisha kama digidigi.
AIDS virus myth.
Kuna siku Deception ktk moja ya maandiko yake alisema ss jamaa wana mpango wa kulazimisha mtu akipimwa akakutwa na maambukizi(feki) anaanzishiwa dawa (ARV)direct hata kama CD4 ziko 900.Upo sawa.
Hata hivyo kuna waafrika wenzetu wananufaika ni hadaa hizo, ndiyo maana wanapigana kufa na kupona kutetea uongo wa HIV.