mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
...
Exclusive interview na Deception ni yeye atumie hizo nguvu kuzielekeza WHO na MOHCDEC kwamba hivi virusi havipo na kwa kuwapa watu ARV ndiyo kunasabisha AIDS. So funny.
Sir with Love: nashukuru kuwa tayari kufanya "exclusive interview" na 'deception'.
Hili suala la HIV/AIDS ni nyeti kwa kuwa linagusa kila nyanja ya maisha yetu kiuchumi, kisiasa, kijamaii nk.
Naamini wewe na 'deception' mnatuma tafiti za wanasayansi waliobobea katika utafiti na kuweka tafiti zao kwenye majarida au hufikisha kwenye makongamano.
Kama mmoja wenu amejihusisha katika tafiti ya HIV/AIDS atupe kwa ufupi tu matokeo ya kazi yake.
Hasa "interviews" hizi zinatoa maswali mengi kuhusu HIV/AIDS: