Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

...

Exclusive interview na Deception ni yeye atumie hizo nguvu kuzielekeza WHO na MOHCDEC kwamba hivi virusi havipo na kwa kuwapa watu ARV ndiyo kunasabisha AIDS. So funny.

Sir with Love: nashukuru kuwa tayari kufanya "exclusive interview" na 'deception'.

Hili suala la HIV/AIDS ni nyeti kwa kuwa linagusa kila nyanja ya maisha yetu kiuchumi, kisiasa, kijamaii nk.

Naamini wewe na 'deception' mnatuma tafiti za wanasayansi waliobobea katika utafiti na kuweka tafiti zao kwenye majarida au hufikisha kwenye makongamano.

Kama mmoja wenu amejihusisha katika tafiti ya HIV/AIDS atupe kwa ufupi tu matokeo ya kazi yake.

Hasa "interviews" hizi zinatoa maswali mengi kuhusu HIV/AIDS:



 
Sir with Love: nashukuru kuwa tayari kufanya "exclusive interview" na 'deception'.

Hili suala la HIV/AIDS ni nyeti kwa kuwa linagusa kila nyanja ya maisha yetu kiuchumi, kisiasa, kijamaii nk.

Naamini wewe na 'deception' mnatuma tafiti za wanasayansi waliobobea katika utafiti na kuweka tafiti zao kwenye majarida au hufikisha kwenye makongamano.

Kama mmoja wenu amejihusisha katika tafiti ya HIV/AIDS atupe kwa ufupi tu matokeo ya kazi yake.

Hasa "interviews" hizi zinatoa maswali mengi kuhusu HIV/AIDS:





Mwengeso nimeshaziona hizo video.

Narudia tena hizo video ni za mwaka 1970-80 na huyo Gallos aliiba chapisho la mfaransa mwenzake kwa kusema yeye ndiye amevumbua AIDS........ sijui kama unapata picha hapo.

Deception huwa anamtumia sana Robert Galos kwenye haya mambo, lakini huyo Robert aliiba chapisho mpaka Federal Government ikawa inamchunguza kwa kusema uongo.

Naomba usome hili chapisho attached.
 

Attachments

Mwengeso nimeshaziona hizo video.

Narudia tena hizo video ni za mwaka 1970-80 na huyo Gallos aliiba chapisho la mfaransa mwenzake kwa kusema yeye ndiye amevumbua AIDS........ sijui kama unapata picha hapo....

Niliamini umeziona na ndiyo maana nimeomba wewe na 'deception' mtoe mawazo kuhusu ukweli/uongo wa mabingwa hao. Labda kama kuna ushahidi mpya mweke
 
Niliamini umeziona na ndiyo maana nimeomba wewe na 'deception' mtoe mawazo kuhusu ukweli/uongo wa mabingwa hao. Labda kama kuna ushahidi mpya mweke
Mwengeso

Serikali ya muungano wa nchi ya Tanzania haiamini uchawi upo. Je wewe unaamini?

Kuna watu humu JF hawaamini Mungu yupo. Wewe unaamini?

Kuna watu wanaamini huwezi kulala na mwanamke siku moja ukampa ujauzito. Wewe unaamini?

Kuna huko mashariki hawaamini kuhusu elimu ya magharibi, lakini wanatumia simu za mkononi na kutizama TV. Wewe unaamini?

Tabora waliamini baada ya kuaminishwa kwamba risasi hazitapenya wakati wa vita- majimaji. Je wewe ungeamini?

Akili ya mwanadamu inaweza kutanuka ukitaka. Naomba uitanue. Usiishie kusoma na wewe jiongeze.

Hakuna kitu kikubwa kinachomshape mtu kama mazingira.
 
Mwengeso nimeshaziona hizo video.

Narudia tena hizo video ni za mwaka 1970-80 na huyo Gallos aliiba chapisho la mfaransa mwenzake kwa kusema yeye ndiye amevumbua AIDS........ sijui kama unapata picha hapo.

Deception huwa anamtumia sana Robert Galos kwenye haya mambo, lakini huyo Robert aliiba chapisho mpaka Federal Government ikawa inamchunguza kwa kusema uongo.

Naomba usome hili chapisho attached.


Mkuu From Sir With Love , you are very right kwa hicho unachokieleza, kwamba:

1. Dr. Robert Gallo aliiba data za 'mfaransa' fulani na akasema amevumbua HIV. Hivyo, kumfanya R.Gallo awe wa kwanza kutangazwa na serikali ya Marekani kuwa ndiye mgunduzi wa HIV.

2. 'Mfaransa' huyo ni Prof. Luc Montaigner, ambaye huyu sasa ndiye mgunduzi halisi (wa kwanza) aliyevumbua HIV. Baada ya ugunduzi wake huo, kuna circumstances zilitokea ndipo data za ugunduzi huo zikaibwa na Dr. Rober Gallo.

3. Ikazuka conflict kubwa sana kati ya hao madocta wawili juu ya ku-patent hiyo discovery. Mpaka serikali zao (Marekani na Ufaransa) zikaingilia kati kusuluhisha hiyo issue ya patent of HIV invention.

4. Huyo Dr Robert Gallo, zamani miaka ya nyuma sana aliwahi pia kuleta 'usanii' kwenye ugunduzi wa 'CANCER'. Aliambulia criticism kubwa sana from the medical science community.

Sasa mkuu, nadhani you are aware of the 'House Of Numbers' documentary. Hii documentary ni recent kabisa, ni ya mwaka 2009/2010. Ndani ya documentary hiyo, wabobezi mbali mbali wa suala la HIV/AIDS wamefanyiwa interview. Miongoni mwa waliohojiwa ni Pr. Luc Montaigner mwenyewe live bila chenga. Hebu naomba uicheki hii video clip fupi ya dakika 4 tu (from the House of Numbers) aliyohojiwa Prof. Luc Montaigner. Baada ya kuicheki, please tupe maoni yako juu ya hicho alichokisema humo:



-Kaveli-
 
Mkuu From Sir With Love , natumai pia unamfahamu Dr. Kary Mullis. Huyu Dr Mullis ndiye mgunduzi wa PCR (kifaa mojawapo cha kupimia HIV na viral load).

Naye pia alifanyiwa interview juu ya 'HIV = AIDS'. Naomba ucheki video clip hii ya Dr. Kary Mullis akihojiwa. Kisha tupe maoni yako juu ya hicho anachokisema mtaalamu huyo:



-Kaveli-
 
Kuna mambo ya msingi ya kisayansi yasiyo na majibu kamili kutokana na video clips alizorusha "Kavel"
1) HIV inaweza kuondolewa mwilini kwa lishe bora hata maji!
2) Hakuna makala za kiyansi kwamba HIV huambukiza AIDS

Kwa utata huo hivi kweli HIV imekwisha gundulika!

Sir with Love tunasubiri maelezo yenye ushahidi
 
Deception njoo mfuasi wako nasubiria majibu yaliyotukuka.
Ficus: naamini unafuatilia mjadala tukiamini ama 'Deception' au 'Sir with Love' atatupa jibu la uhakika (kisayansi) kama HIV imegundulika!

Mimi hilo swali ndilo la msingi la kitendawili cha upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI au AIDS)
 
Unahitaji Deception aje akueleweshe au unalazmisha kuchora lami kwa mkaa!!! Somo la Deception lishaeleweka tena kwa facts nawe kuja kwa facts co kwa mihemko,
 
Kuna mambo ya msingi ya kisayansi yasiyo na majibu kamili kutokana na video clips alizorusha "Kavel"
1) HIV inaweza kuondolewa mwilini kwa lishe bora hata maji!
2) Hakuna makala za kiyansi kwamba HIV huambukiza AIDS

Kwa utata huo hivi kweli HIV imekwisha gundulika!

Sir with Love tunasubiri maelezo yenye ushahidi


Yep mkuu. Prof Luc Montaigner (mgunduzi wa HIV) kwenye hiyo video clip anasema kwamba kama mtu ana 'good immune system', mwili una uwezo wa kuiondoa/kuifukuza kabisa HIV.

Na ili mtu apate 'good immune system', azingatie mambo haya: KUNYWA MAJI safi & salama; ANTIOXIDANTS; NUTRITION; HYGIENE; na KUEPUKA STESS (msongo wa mawazo).

Tena amesisitiza sana kwenye maji. Anasema: "Water is important. Water is the key".

My take:

Sasa sisi waafrica unakuta mtu hanywi maji (anasubiri mpaka ahisi kiu) + hapati nutrition (anashindia junk foods/drinks kila siku) + hapati antioxidants + Hygiene ni zero (usafi binafsi na usafi wa mazingira) + Stress kibao za kimaisha. BOMU ndani ya mwili !

-Kaveli-
 
Mkuu From Sir With Love, pia naomba unieleweshe kwenye hoja ifuatayo:

Tunaambiwa kwamba HIV yupo kwenye category ya virusi waitwao 'Retrovirus'.

Niliwahi kusoma mahala kwamba retroviruses ni harmless. Yaani kwamba virusi aina ya retrovirus hawana madhara ndani ya mwili wa binadamu, na watu wengi tu wanaishi na virusi hao mwilini na bila madhara yoyote kiafya.

If retroviruses are harmless in the body, why sasa huyo HIV ashambulie kinga ya mwili??!!!

-Kaveli-
 
Deception hata mimi sikuamini na sitakaa kuamini Ukimwi haupo na wote mnaosema haupo waongo wakubwa jitokezeni redioni katika Tvs kupinga hayo sio mitandaoni tu

Sawa,kwani nimekulazimisha?
Ujue ninyi mna matatizo sana,he he heeee....yaani mnakurupuka kujadili jambo kabla hamjalielewa,inasikitisha sana....sasa kabla ya kusema unaniamini au huniamini,kwanza ulitakiwa kuelewa mimi nimesema nini,sasa wewe kwanza hujui hata nilichokisema halafu unaanza kujadili hovyo hovyo tu...sasa sema wapi mimi nimesema hakuna ukimwi,baada ya hapo ndio tujadili hayo ya kuamini au kutokuamini....by the way,hili si suala la imani,hii ni sayansi bwana....wewe kuamini au kutokuamini hakubadili ukweli huu wa kisayansi...

Mbona Galileo hakuaminiwa aliposema kwamba dunia inazunguka jua miaka ile ya 1600's?Sasa kutoaminiwa kwa Galileo kipindi kile ndio kumefanya dunia isizunguke jua?Do you really get my point?
 
.... Kipindi hicho inawezekana hiyo tech. Ilikuwa haipo.
....

Sasa kama unakubali kwamba hiyo tech haikuwepo miaka ya 1980,waliwezaje kukiona hicho kirusi na jinsi kinavyoua hizo seli?Acha kuleta IMANI kwenye sayansi.

....
Kwa sasa under electron microscope unaweza kukiona na hata kinavyoshambulia cell.
....

Wewe ulishawahi kutumia hiyo electron microscope kuona yote hayo unayosema au ndio mihemko tu?Niambie kwa hapa tanzania ni wapi kuna hiyo electron microscope inayoweza kuona hivyo virusi?

Hebu acheni kuua watu ninyi....
Ngoja nikwambie kitu....unajua hata mkojo wa mama mwenye mimba unaweza kufanya hizo test zenu feki kutoa majibu positive?
Sasa kama mambo ndio yako hivyo,piga hesabu ni kina mama wangapi wenye mimba mlishawaua kwa kuwapa ARVs zenu zenye sumu?
 
Unaona sasa?Ndio maana mwanzo nilisema hivi...kama ni kuleta machapisho wote tunayo machapisho...wewe hutayaamini yale niletayo mimi na hali kadhalika mimi sitayaamini yale utakayoleta wewe...ndio maana nikasema lets base on what is happening huku mitaani na kwenye vituo vya afya...hapo ndipo tutapata ukweli ambao mwisho wa siku utarandana na machapisho aliyoleta mmojawapo,yaani mimi au wewe,kinachotokea huku mitaani na kwenye vituo vya afya ndio shahidi wa kweli kutambua ni nani yuko sahihi.Kwanini unakimbia hoja hii?

Mwengeso nimeshaziona hizo video..
Kuona si kuelewa.

.....
Narudia tena hizo video ni za mwaka 1970-80 na huyo Gallos aliiba chapisho la mfaransa mwenzake kwa kusema yeye ndiye amevumbua AIDS........ sijui kama unapata picha hapo.....

He he heee....nimecheka sana hapo kwenye bold mpaka kuna kundi la watu hapa nilipo wamestuka....he heee...

Ndio maana nimekwambia kuona au kusoma si kuelewa...hata kama umejichanganya,daktari anayejielewa hawezi kujichanganya kama wewe ulivyojichanganya....na hapa umerudia mara ya pili....utajichanganya vipi kwenye jambo basic kama hili mara mbili kama wewe kweli unajua unachokisema?Ndio maana nilikwambia umwite kaka yako mkuyati akusaidie,wewe bado sana...

Eti Galo ni mfaransa na ameiba chapisho la mfaransa mwenzake...he he heee..nimecheka sana....we dogo Galo sio mfaransa.

Eti amevumbua AIDS....he he heee...we dogo AIDS sio kitu cha kuvumbua.....halafu story nzima haizungumzii uvuambuaji wa AIDS bali inazungumzia uvumbuaji wa huyo HIV feki....sawa dogo?

Sasa dogo sikiliza...

AIDS ni syndrome na huyo HIV(feki) ni kirusi hewa kinachosingiziwa kusababisha hiyo AIDS...umeelewa eenh?AIDS na HIV ni mambo mawili tofauti,kimoja ni halisi lakini kingine si halisi...yaani AIDS ni kweli ipo lakini haisababishwi na huyo HIV(feki),pia AIDS haitishi kama ulivyoaminishwa,AIDS ilikuwepo tangu enzi za kuumbwa kwa mwanadamu na haikuwa kitu cha kukitolea macho.....lakini huyo HIV(feki) hayupo kiuhalisia,bali HIV ni missile tu inayotumika kusambaza uongo huu ili kutimiza agenda ya kuuza madawa ya ARVs.....umeelewa dogo?

Sasa mwite kaka yako mkuyati naye apate ujumbe wake hapa.Mtanyooka tu,hata kama hamtaki.
 
Tena nakushauri Deception issue hii ijadiliwe humu humu ili wenye akili wapate ufahamu, kuna majitu mavivu kutafakari hata hizi thread muhimu mtu anaona uvivu kufuatilia toka ilipoanzia, anakuja kukurupuka mwishoni na post zinazoishia. Usije jaribu kwenda kwenye public media na hii issue, kwa sababu unaweza kuwa assasinated, au hata mwisho wa siku moderator akashawishiwa ku ban thread hizi ili watu waendelee kuwa gizani. Maisha haya ya ki ibilisi yamekuwa designed ili mmoja afe na mwingine a survive, hivyo hata akija malaika kuelewesha watu ni wachache watasikia na kuelewa japo wana macho na masikio, mambo haya yanahitaji mtu awe blessed.
 
daa nimeshindwa hata cha kuongea maana hivi vitu vinahitaji imani kali sana niliona mmama mmoja aliambiwa ana ukimwi akajitolea maisha yake kanisani akaomba sana mungu mwishowe kapima kakutwa ni mzima kila kitu ni imani pia wapo wanaotumia arvs wakienda makanisani wanaombewa wanaambiwa wamepona wanaacha hawachukui round wanakufa jamani msije mkamwamini decption mkaacha arvs mkafa someni mumuelewe kwanza somo lake linahitaji utulivu sana na uingie kiundani usisome kama unasoma magazeti ya shigogo.... decption recpect kakaa ujue mungu a
nakuona lakini
 
Jana tulikua na kesi moja nzito sana, kunajamaa anawake wawili, mmoja alikua mjamzito, akaenda kupima akakutwa ni HIV+ ila mumewe na mke mdogo wamepimwa wao wako (negative) mke alie athirika anataka apewe haki yake ya ndoa kavu kavu, wakati mume na mke mdogo ambao wazima hawataki apewe haki ya kavu kavu lazima watumie condom.

bi mkubwa ambae mgonjwa anadai hajawai kutoka nje ya ndoa, na mumewe pia anadai ivyo ivyo, swali linakuja je uo ugonjwa ameupataje.?

kwanini aupate mmoja wenzie waukose.? saizi uyo mama ananyinyesha je hatma ya mtoto itakuaje.? io ni kesi moja nayo ijua ngoja nikupe nyingine.
 
ndugu yangu mmoja alipima wakati wa ujauzito akakutwa ni + akaanza kua anagawa ovyo utamu wake, kunajamaa akawa ndio anakula na kusaza apo kwa uyo ndugu yangu, kunasiku jamaa ikabidi nimueleze hali alisi ya huyo ndugu yangu, jamaa alishangaa sana ikabidi aende kupima tena kwa miezi mitatu mitatu, madactari hawaoni kitu na jamaa yuko -
najiuliza pia je kaukosaje mana huyo dem alikua hatumii dozi na walibaatika kuzaanae.?

mwingine pia ana wake wawili ajabu mke mkubwa kila baada ya miezi3 anapima na hana kitu, ila mwanaume na mke mdogo ni wagonjwa, japo saizi lila mtu analala kivyake ila napata maswali mengi sana juu ya huu ugonjwa asee.
 
Back
Top Bottom