Tangu Jana ajue niko USA mtoto amekua msumbufu ananisalimia mara 7 kwa kutwa

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu wazee wa kuchana anga!!.

Sasa iko hivi...kuna mtoto mkali balaa humu JF nilikuna nae maeneo ya Mlimani city akanipa jina lake humu katika kunionyesha ile yeye ni mkali hayuko ile mitandao tradition kama instagram,facebook etc.

Tukawa tunawasiliana PM ,ila kila nikimuambia tukutane nataka mambo akawa anachelewa kujibu meseji na mzito fulani hivi...halafu kama haniamini hivi.!!

Mimi nikarudi zangu USA..you know what i'm sayin

Sasa tangu ile jana ajue mimi niko zangu USA ,NewYork Bronx naperuzi tu JF 24 hours 7 ameanza shobo PM nyingi....anataka hadi namba yangu sasa hivi wakati mwanzo alikua anachomoa kutoa yake.

Yaani namaliza hivi ...pongezi na lawama zote....wapewe chama
Hallaa

Wewe mwenzangu uko nchi gani....muda wa kung'oa watoto wakali huu

Please chit chat hapa
 
f8de4580bab08f3c790103c5649f29e9.jpg
 
kuna mtoto mkali balaa humu JF nilikuna nae maeneo ya Mlimani city akanipa jina lake humu katika kunionyesha ile yeye ni mkali hayuko ile mitandao tradition kama instagram,facebook etc.
Chai..
Mtoto mkali awe yumo JF halafu wewe uje kumjadili humu humu behind her back??
 
Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu wazee wa kuchana anga!!.

Sasa iko hivi...kuna mtoto mkali balaa humu JF nilikuna nae maeneo ya Mlimani city akanipa jina lake humu katika kunionyesha ile yeye ni mkali hayuko ile mitandao tradition kama instagram,facebook etc.

Tukawa tunawasiliana PM ,ila kila nikimuambia tukutane nataka mambo akawa anachelewa kujibu meseji na mzito fulani hivi...halafu kama haniamini hivi.!!

Mimi nikarudi zangu USA..you know what i'm sayin

Sasa tangu ile jana ajue mimi niko zangu USA ,NewYork Bronx naperuzi tu JF 24 hours 7 ameanza shobo PM nyingi....anataka hadi namba yangu sasa hivi wakati mwanzo alikua anachomoa kutoa yake.

Yaani namaliza hivi ...pongezi na lawama zote....wapewe chama
Hallaa

Wewe mwenzangu uko nchi gani....muda wa kung'oa watoto wakali huu

Please chit chat hapa
Uko Bronx ya wapi mwana?
 
Five boroughs zote (The Bronx, Queens, Brooklyn, Manhattan, Staten Island) zipo New York City. Ukienda Queens ndiyo hakuna hata Queens, NY ni vimiji vyao tu.

Halafu kuna New York, New York ndiyo Manhattan.
Nakubaliana nawe isipokuwa kwenye hio Queens,NY hutumika hivyo hivyo isipokuwa zip code zake tu ndio hugawanya hizo town area mfano Jamaica/ Queens village / Oakland Garden / Fresh Meadow na Kew Garden Hills zote hizo under NY.
 
Nipo FINLAND nipo ufinny

Back
Top Bottom