MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,048
- 2,239
Stupidity! Kwa hiyo aling'olewa meno ili mgomo uishe!Ulimboka hakuwa upinzani alitekwa ili mgomo wa madaktari uishe, watu watibiwe. It's justifiable.
Stupidity! Kwa hiyo aling'olewa meno ili mgomo uishe!Ulimboka hakuwa upinzani alitekwa ili mgomo wa madaktari uishe, watu watibiwe. It's justifiable.
Ni mawazo ya mtu mfu ndo yanaweza kutumika kueleza haya uliyoandika. Ukianza kusifia kufanya ujinga kwamba ni kwa lengo jema, basi elewa uwezo wako wa kujua memam na mabaya ni mdogo. Hebu kumbuka maovu yaliyofanyika awamu ya 4.In the right situation hata kuua kunakuwa justifiable. Kuna situation usipouwa utauwawa. Ulimboka asinge wekwa sawa wafu wengi wangekufa.
Mambo mabaya yalianzia kipindi kile cha awamu ya Nne !!Stupidity! Kwa hiyo aling'olewa meno ili mgomo uishe!
Awamu ya Nne 😳 !Ni mawazo ya mtu mfu ndo yanaweza kutumika kueleza haya uliyoandika. Ukianza kusifia kufanya ujinga kwamba ni kwa lengo jema, basi elewa uwezo wako wa kujua memam na mabaya ni mdogo. Hebu kumbuka maovu yaliyofanyika awamu ya 4.
Mvungi aliosadikiwa kuvamiwa na kuuwawa awamu ya nani?
Mwandishi Mwangosi aliuwawa awamu ya nani?
Mwandishi Absalom Kibanda alitekwa na kudhalilishwa awamu ya nani?
NAKUUNGA MKONO KWA SASA HATA BABA LEVO ANATAKA KUWA RAIS.Kwa wahenga tunafahamu matatizo yaliyotokana na uongozi dhaifu wa JK.
Rais Kikwete alipoingia madarakani, alipendwa sana, na wengi wakawa na matumaini ya uongozi bora. Ilitokana na matamshi yake alipoishika wizara ya fedha juu ya Kigoma Malima aliyekuwa mtangulizi wake, na wakati huo alikuwa hapendwi kabisa!
Tatizo ikawa ni aina ya uongozi wa Kikwete. Ilitegemea urafiki, mahusiano yasiyo na mipaka na hata ngono ilionekana ni mtaji. Ni wakati ambapo nafasi za wakuu wa Wilaya ziligeuka ni nafasi za mafunzo, bila kujali umuhimu wa nafasi hiyo ktk jamii.
Wanachama wakaona kumbe U-rais ni nafasi ya kuchezea tu! Akapigiwa simu za kupewa heri ya 'Birth day*, naye akaitika akisikika nchi nzima. Akataniwa na kucheka, n.k. Baada ya hapo watu waliingia kwa makumi kuomba nafasi ya Urais.
Leo hii rais anaonekana akicheza taarabu, anaalikwa na wachekeshaji, anashikwa bega akiombewa kanisani. Kama ni hivyo, hata Ubunge imekuwa ni nafasi ya kila mtu. Mwaka huu wameomba kwa ubora wao wanaoujua, na wanagomba na kusema ni haki yao, ni wanachama. Mmoja hajui hata kazi ya Mbunge, kasema atakuwa chawa wa Serikali, na mwaziri.
Nafasi za uongozi zimepoteza hadhi yake. Ieleweke kwamba, Unapokuwa mwanachama wa chama cha siasa, haina maana kwamba unastahili kugombea uongozi wowote ktk chama au Taifa. Kila mtu ajipime nafasi anayoiweza. Ni aibu kama bunge litakuwa ni sehemu ya wachekeshaji, a.k.a wasanii. Nchi inayojigamba sasa ina vision 2050, yenye Ai ndani yake.
Umekariri, sasa karudi kivingine huku akitanguliza TV yake mbele yeye akishika rimoti.Kikwete alikuwa Rais mzuri na bora alijua kusoma alama na mahitaji ya watu.
Ni kipindi cha Kikwete hatukuona shida ya Wapinzani wakipishana Ukonga na ndio kipindi tulijua aina ya Wapinzani katika Nchi yetu.
Mbowe, Lissu na Mnyika wamekunywa Sana Juice Ikulu Kikwete invited them to bring their concerns on table. Kikwete aliamini wazo linakuwa challenged na wazo. Kuna time in political science you need to know the size of your candle to set it at a respective place.
Kipindi cha Jakaya ndio Freedom of Speech, Transparency & Accountability were revealed at all angles of our country. Ndio kipindi Sauti za watu zilisikilizwa na wakati mwingine kufanyiwa Kazi refer case ya 2013 vijana kukosa Mikopo ( HESLB) finally vijana walipewa Mikopo.
Nchi yetu ilikuwa interlocked ni wakati barabara zilijengwa kila mahali na Nchi ikafunguka.
Ni kipindi ambacho business was usually in gross & grace.
Kipindi ambacho ajira zilikuwepo na private sector played a part of economic growth & job creation.
Ni kipindi ambacho Waziri akikosea anaachia ngazi bila shida refer Escrow Scandal (Tibaijuka, Werema, Chenge n.k)
Ni kipindi ambacho Wananchi Walikuwa na sauti katika majimbo refer case ya Mbeya Sugu anakodiwa ndege aende kuongea na Wafanyabiashara wa Mwanjelwa.
Udhaifu ulikuwepo including UFISADI + CARTEL GROUP but Swali Kwa sasa haya hayapo? Jibu yapo na hayo mazuri pia yaliyokuwepo kipindi cha Kikwete hayapo pia kiufupi we lost all.
Kipindi cha Magufuli more than 1.5 trillion zimepotea according to CAG's report lakini Nani aulize. Watu wamepiga 10 billion Halmashauri ya Ilala Waziri Mkuu akaongea what happened?
Mama akaagiza investigation BOT January - April 2021 finally what happened?
Mama alijua haswa Kwa nini uchunguzi ufanyike hatua zaidi ? Haya matukio yote yangeondoka na Mawaziri Kwa Jakaya.
Tusisahau Kwa Jakaya hadi Waziri Mkuu resigned for Escrow Scandal. Tuseme ukweli Serikali ya Rais Magufuli hata Mama kuna mtu angeachia kiti labda Kwa mapenzi ya Rais sio pressure ya watu.
Kikwete was the best President in our country & Africa in general, we enjoyed diplomatic quo & international relations. Tanzania was a hub for Peace disputes. We saved Comoro from culprits invasion, we saved DRC from M23 & we saved Nkrunzinza being expelled from government though Magufuli government did so also" hakuwa na bahati hadi Pale COVID- 19 ilipita nae Nairobi"
Yapo mengi to speak about the Man maana Kwangu huyu ndiye Rais nilikuwa najitambua naweza kuelezea vizuri compared to his predessessors especially Mkapa sikuwa najua kitu I was still very young.
Mbona Nyerere hakubadilika ??!Umekariri, sasa karudi kivingine huku akitanguliza TV yake mbele yeye akishika rimoti.
Tusihishi kwa kukariri, mtu uwa anabadilika muda wowote kwa tamaa.
Tusiishi kwa kukaririMbona Nyerere hakubadilika ??!
Huyu sasa anayeingiza mke na watoto bungeni? halafu anaamini ni mjanja. Huoni uboira dunui alionao kwa sasa?Jk was the best president of modern Tanzania ever got .........huwezi kumlinganisha na JPM au BM
Wewe jamaa huwa unachangia mema kwa kubahatisha, eti! Mbona naona kama una kiwango duni cha fikra? Au ndo kujilazimisha uwe kama m-Marekani? Shida sana!Watanzania wengine bwana.
Hata wakiwa sawa wanakosea kwa nini wako sawa.
Ni kweli Kikwete uongozi wake ulikuwa na udhaifu mwingi sana.
Lakini.
Rais kuitikia happy birthday au kucheza taarab si matatizo.
Na wananchi wengi kujitokeza kuwania urais si tatizo, ni sehemu ya demokrasia.
I second you aliwaachia vijana kama kina tundu lisu mnyika zitto kina mdee wamkosoe na kumtukana pamoja na kumkejeli bila kuwapiga risasi wala kuwapa kesi ya uhaini.Jk was the best president of modern Tanzania ever got .........huwezi kumlinganisha na JPM au BM
Usinijadili mimi, jadili hoja.Wewe jamaa huwa unachangia mema kwa kubahatisha, eti! Mbona naona kama una kiwango duni cha fikra? Au ndo kujilazimisha uwe kama m-Marekani? Shida sana!
On sasa! Unahangika klufundisha mtu JF bila kufahamu ana malengo gani ndani ya JF. Unakuwa kama Mwigulu anayetaka kila mtu afundishwe uchumi bungeni?Usinijadili mimi, jadili hoja.
Kunijadili mimi negatively bila kujadili hoja ni logical fallacy.
Ni ad hominem fallacy.
Google that.
I know you don't know it.
Nimekufundisha kitu leo, kubali kujifunza.
Wewe kwanza jifunze kuandika kabla ya kujibizana nami.On sasa! Unahangika klufundisha mtu JF bila kufahamu ana malengo gani ndani ya JF. Unakuwa kama Mwigulu anayetaka kila mtu afundishwe uchumi bungeni?
Kubali tu mwnzetu kwamba uko hoi na huwa una katabia ka ulimbukeni hivi! Kuna mambo hayahitaji hoja, ni suala la ukweli tu hata kama bilioni 8 wa dunia hii wanasema vingine, mmoja tu, anweza kuwa sahihi.
Kwa hiyo nisipoelewa, wewe utakuwa umeongeza busara? Hebu teuelezane basi!Wewe kwanza jifunze kuandika kabla ya kujibizana nami.
Sitaki kujibizana na guluguja ngumbaru wasiojua kuandika.
Umeelewa ad hominem fallacy ni nini?
Kwa hiyo nisipoelewa, wewe utakuwa umeongeza busara? Hebu teuelezane basi!
Comment puis-je perdre du temps à me débattre avec des mots anglais ? C’est un autre signe d’une personne endoctrinée. Vous serez toujours fier de ce que vous avez appris, plutôt que de la qualité de votre réflexion.
Boss Unataka kuwa Babu wa JF! Ukishindwa kujieleza unasema ulishaona mengi ktk maisha.Logical nonnsequitur fallacy.
Sio tu hujui kuandika vizuri, hujui hata kufikiri.
Straight to my ignore list.
Kuanzia hapa sitaona lolote utakaloandika.
Nahisi kama unapambana na mtu aliyezoea kusifiwa kwamba anajua. Hutafanikiwa bos! Wapo watu wa aina hiyo. KIla kundi lina mtua ambaye anataka ya kwake tu.Boss Unataka kuwa Babu wa JF! Ukishindwa kujieleza unasema ulishaona mengi ktk maisha.
Unapokuwa kila wakati unataka kila mtu aelewe unayoelewa wewe, hapo ndo mwanzo wa ulimbukeni. Kila unapoandika unaniuliza kama najua ad hominem. Kwa nini unalazimisha nijue hilo neno? Au ndo utalaamu wenyewe na ukiuandika kwa kiswahili, hutakuwa umeonesha ufahamu wako?
NI tabia unayo sana!! Yaani ukishachoka kushawishi unatafuta maneno uanyoamini wengine hawajui. Imani mbaya tu maana hayo ni maneno ya kawaida na ni tabia ya binadamu kujifunza kila wakati.