Tangu Kikwete alipopata Urais, CCM wakafungua geti la viwango duni katika siasa

In the right situation hata kuua kunakuwa justifiable. Kuna situation usipouwa utauwawa. Ulimboka asinge wekwa sawa wafu wengi wangekufa.
Ni mawazo ya mtu mfu ndo yanaweza kutumika kueleza haya uliyoandika. Ukianza kusifia kufanya ujinga kwamba ni kwa lengo jema, basi elewa uwezo wako wa kujua memam na mabaya ni mdogo. Hebu kumbuka maovu yaliyofanyika awamu ya 4.
Mvungi aliosadikiwa kuvamiwa na kuuwawa awamu ya nani?
Mwandishi Mwangosi aliuwawa awamu ya nani?
Mwandishi Absalom Kibanda alitekwa na kudhalilishwa awamu ya nani?
 
Awamu ya Nne 😳 !
 
NAKUUNGA MKONO KWA SASA HATA BABA LEVO ANATAKA KUWA RAIS.
 
Umekariri, sasa karudi kivingine huku akitanguliza TV yake mbele yeye akishika rimoti.

Tusihishi kwa kukariri, mtu uwa anabadilika muda wowote kwa tamaa.
 
Jk was the best president of modern Tanzania ever got .........huwezi kumlinganisha na JPM au BM
Huyu sasa anayeingiza mke na watoto bungeni? halafu anaamini ni mjanja. Huoni uboira dunui alionao kwa sasa?
 
kweli
Magufuli alikuwa na mapungufu kama binadamu wa kawaida
ILA
katika swala la malezi
kwangu binafsi atabaki kuwa
MZAZI NA BABA BORA WA MUDA WOTE.

Magufuli alijua vizuri malezi ya watoto wake.
Hata huyu Jesca hadi kujulikana kipindi kile
ni baada ya kufeli shuleni.

Na siku ya msiba wa baba yao
ndipo watu waliwaona vijana wakubwa kabisa wa marehemu.

Hatukuwahi kusikia wala kuwasoma sehemu
wakirumbana na trafic barabarani, kukwepa kodi bandarini wala kutumia nafasi ya baba yao kwa manufaa yao binafsi.

Je, ni nani hakuwafahamu akina Miraji kikwete, Ridhiwani kikwete?
ama hata huyu Abdul Samia?

Kwani Magufuli alishindwa kuwapa wanae hiyo nafasi?
Hata huyu Jesca kugombea mwaka huu
huo ubunge ni kiini macho tu
kutoka ile kambi ya mstaafu
wakiwaza kura za ukanda wa ziwa.
 
Wewe jamaa huwa unachangia mema kwa kubahatisha, eti! Mbona naona kama una kiwango duni cha fikra? Au ndo kujilazimisha uwe kama m-Marekani? Shida sana!
 
Jk was the best president of modern Tanzania ever got .........huwezi kumlinganisha na JPM au BM
I second you aliwaachia vijana kama kina tundu lisu mnyika zitto kina mdee wamkosoe na kumtukana pamoja na kumkejeli bila kuwapiga risasi wala kuwapa kesi ya uhaini.
 
Wewe jamaa huwa unachangia mema kwa kubahatisha, eti! Mbona naona kama una kiwango duni cha fikra? Au ndo kujilazimisha uwe kama m-Marekani? Shida sana!
Usinijadili mimi, jadili hoja.

Kunijadili mimi negatively bila kujadili hoja ni logical fallacy.

Ni ad hominem fallacy.

Google that.

I know you don't know it.

Nimekufundisha kitu leo, kubali kujifunza.
 
Usinijadili mimi, jadili hoja.

Kunijadili mimi negatively bila kujadili hoja ni logical fallacy.

Ni ad hominem fallacy.

Google that.

I know you don't know it.

Nimekufundisha kitu leo, kubali kujifunza.
On sasa! Unahangika klufundisha mtu JF bila kufahamu ana malengo gani ndani ya JF. Unakuwa kama Mwigulu anayetaka kila mtu afundishwe uchumi bungeni?

Kubali tu mwnzetu kwamba uko hoi na huwa una katabia ka ulimbukeni hivi! Kuna mambo hayahitaji hoja, ni suala la ukweli tu hata kama bilioni 8 wa dunia hii wanasema vingine, mmoja tu, anweza kuwa sahihi.
 
Naona bongo zimelala tunaanza kujadiri mambo ambayo ukiyafuatilia hayana mantiki wala maana yoyote.

Tunaacha kujadiri mambo ya msingi yanayotukabili katika jamii na Taifa kwa ujumla tunaanza kujadiri eti kwa nini anacheza taarabu?? Kama wasaidizi wake wametoa go ahead kwa Rais kuwa mahali fulani kwa jambo fulani ikiwemo kuburudika kwa kucheza taarabu sisi tunapekenyua ili iweje? Hayo mengine sisi yanatuhusu Nini??

Ipo misemo mingi ya wahenga ambayo hadi leo inatumika mfano "msahau kwao ni mtumwa". Rais akicheza ngoma ya kwao, huyo anaenzi utamaduni wa kwao. Rais Kikwete alikuwa anasakata rumba pale alipokuwa anapata fursa hiyo kulingana na mazingira.

Rais Magufuli alikuwa anaonekana mara nyingi anapiga ngoma na kucheza pia. Tatizo liko wapi? Kingine kila anapokanyaga Rais lazima pawe pameshafanyiwa mapitio ya kutisha ili kuhakikisha Usalama wa Rais anapokuwa mahali hapo.

Marais, waendeleo kula.ngoma tu. Mengine haya naona ni kukosa Cha kujadiri.
 
Wewe kwanza jifunze kuandika kabla ya kujibizana nami.

Sitaki kujibizana na guluguja ngumbaru wasiojua kuandika.

Umeelewa ad hominem fallacy ni nini?
 
Wewe kwanza jifunze kuandika kabla ya kujibizana nami.

Sitaki kujibizana na guluguja ngumbaru wasiojua kuandika.

Umeelewa ad hominem fallacy ni nini?
Kwa hiyo nisipoelewa, wewe utakuwa umeongeza busara? Hebu teuelezane basi!
Comment puis-je perdre du temps à me débattre avec des mots anglais ? C’est un autre signe d’une personne endoctrinée. Vous serez toujours fier de ce que vous avez appris, plutôt que de la qualité de votre réflexion.
 

Logical nonnsequitur fallacy.

Sio tu hujui kuandika vizuri, hujui hata kufikiri.

Straight to my ignore list.

Kuanzia hapa sitaona lolote utakaloandika.
 
Logical nonnsequitur fallacy.

Sio tu hujui kuandika vizuri, hujui hata kufikiri.

Straight to my ignore list.

Kuanzia hapa sitaona lolote utakaloandika.
Boss Unataka kuwa Babu wa JF! Ukishindwa kujieleza unasema ulishaona mengi ktk maisha.
Unapokuwa kila wakati unataka kila mtu aelewe unayoelewa wewe, hapo ndo mwanzo wa ulimbukeni. Kila unapoandika unaniuliza kama najua ad hominem. Kwa nini unalazimisha nijue hilo neno? Au ndo utalaamu wenyewe na ukiuandika kwa kiswahili, hutakuwa umeonesha ufahamu wako?

NI tabia unayo sana!! Yaani ukishachoka kushawishi unatafuta maneno uanyoamini wengine hawajui. Imani mbaya tu maana hayo ni maneno ya kawaida na ni tabia ya binadamu kujifunza kila wakati.
 
Nahisi kama unapambana na mtu aliyezoea kusifiwa kwamba anajua. Hutafanikiwa bos! Wapo watu wa aina hiyo. KIla kundi lina mtua ambaye anataka ya kwake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…