Hiyo ni mali yake binafsi, haiendani na mada ama swali langu....nasikia gorofa lake pale Leaders limeuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni mali yake binafsi, haiendani na mada ama swali langu....nasikia gorofa lake pale Leaders limeuzwa
Kweli binadamy siyo sawa, Tz binadamu raisi km jiwe kichaa pombe akiachaa uraisi anaendelea kulipwa maisha yake yote 80% ya atakaye kuwa kwenye kiti cha uraisi, sasa shangaa binadamu km huyo na mibunge yake ndo wako mstari wa mbele kudhulumu na kuhaladaa wanaowaita wanyonge pesa zao kiduchu zilizipo nssf
It's New viral disease the so called NSSF_viralOkay kumbe bado yanafanyika
Na pesa zetu?waliagizwa wajenge viwonder..
Hata mwezi huu leo tarehe 26/ 12/ 18 bado NSSF hawajawalipa wastaafu kama ilivyo kwenye mpango kazi wao wa kulipa kabla ya tarehe 25 ya mwezi unaofuataNa pesa zetu?
Muelewesheni huyu mwandishi kuwa majuzi kati hapa NSSF walitoa pensheni tarehe 18 .Ilipaswa mwandishi huyu ahoji kwa nini pensheni imewahi au angeenda mahakamani kushitaki kwamba kuna mahali NSSF wameiba pesa wakamlipa yeye mapema.Naomba mlalamikaji alalamike kwa yale yenye msingi.Kulipa pensheni kati ya tarehe 29 na 31 ya mwezi siyo ' issue' kwa sababu ipo ndani ya mwezi tajwa.Sasa huo ni uchizi, umesema limeshindwa at the same time umesema linawalipa tarehe 29, na 31 sasa limeshindwa au utaratibu umebadilika!?
Hata serikali syo kila wakati mshahara unawahi, mara tarehe 24-30.kumbuka nssf wanapita ktk awamu tofauti za kiuongozi lazma waweke utaratibu mzuri wa kuhudumia wastaafu
Mali binafsi ilotokana na wizi wa fedha za wafanyakazi, yule ni mwivi mkubwaHiyo ni mali yake binafsi, haiendani na mada ama swali langu.
TrueMuelewesheni huyu mwandishi kuwa majuzi kati hapa NSSF walitoa pensheni tarehe 18 .Ilipaswa mwandishi huyu ahoji kwa nini pensheni imewahi au angeenda mahakamani kushitaki kwamba kuna mahali NSSF wameiba pesa wakamlipa yeye mapema.Naomba mlalamikaji alalamike kwa yale yenye msingi.Kulipa pensheni kati ya tarehe 29 na 31 ya mwezi siyo ' issue' kwa sababu ipo ndani ya mwezi tajwa.
Punguani at work, tarehe 26/12/18 haijawahi kufika bali leo ni 27/11/18Hata mwezi huu leo tarehe 26/ 12/ 18 bado NSSF hawajawalipa wastaafu kama ilivyo kwenye mpango kazi wao wa kulipa kabla ya tarehe 25 ya mwezi unaofuata
Kuchanganyikiwa kwa hali ya juu.Leo ni mwezi wa 11 sio ws 12Hata mwezi huu leo tarehe 26/ 12/ 18 bado NSSF hawajawalipa wastaafu kama ilivyo kwenye mpango kazi wao wa kulipa kabla ya tarehe 25 ya mwezi unaofuata
Uko sahihi kabisa.Tatizo ni serikali ktk maeneo mawili;
1. Serikali kuchota fedha ktk mifuko hii hadi kupitiliz kiasi cha kuiacha 'uchi'
2. Serikali kuiacha mifuko hii kufanya uwekezaji usio na tija ktk miradi ambayo ni jukumu la seriakli ie kujenga madaraja. Ikumbukwe kuwa viongozi wa mifuko hii walikuwa wakifanya hivyo kwa ajili ya maslahi binafsi (20%).