Tetesi: Tangu kuingia awamu hii ya tano, NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu

Tetesi: Tangu kuingia awamu hii ya tano, NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu

Kweli binadamy siyo sawa, Tz binadamu raisi km jiwe kichaa pombe akiachaa uraisi anaendelea kulipwa maisha yake yote 80% ya atakaye kuwa kwenye kiti cha uraisi, sasa shangaa binadamu km huyo na mibunge yake ndo wako mstari wa mbele kudhulumu na kuhaladaa wanaowaita wanyonge pesa zao kiduchu zilizipo nssf

Kutegemea jema kutoka kwa jiwe ni sawa na kusubiri dodo chini ya mnazi
 
CAG Fanya ukaguzi wa dharula kwenye mfuko huu ambao unaonekana uko ukingoni kufa kutokana na ukata, kauli za waziri husika anazozitoa kuhusu waliochota mabilioni ya mfumo ikiwemo serikali zinaleta picha halisi inayoufanya ushindwe kuwalipa kwa wakati wastaafu.
 
Sasa huo ni uchizi, umesema limeshindwa at the same time umesema linawalipa tarehe 29, na 31 sasa limeshindwa au utaratibu umebadilika!?
Hata serikali syo kila wakati mshahara unawahi, mara tarehe 24-30.kumbuka nssf wanapita ktk awamu tofauti za kiuongozi lazma waweke utaratibu mzuri wa kuhudumia wastaafu
Muelewesheni huyu mwandishi kuwa majuzi kati hapa NSSF walitoa pensheni tarehe 18 .Ilipaswa mwandishi huyu ahoji kwa nini pensheni imewahi au angeenda mahakamani kushitaki kwamba kuna mahali NSSF wameiba pesa wakamlipa yeye mapema.Naomba mlalamikaji alalamike kwa yale yenye msingi.Kulipa pensheni kati ya tarehe 29 na 31 ya mwezi siyo ' issue' kwa sababu ipo ndani ya mwezi tajwa.
 
True
 
Hata mwezi huu leo tarehe 26/ 12/ 18 bado NSSF hawajawalipa wastaafu kama ilivyo kwenye mpango kazi wao wa kulipa kabla ya tarehe 25 ya mwezi unaofuata
Punguani at work, tarehe 26/12/18 haijawahi kufika bali leo ni 27/11/18
 
Hata mwezi huu leo tarehe 26/ 12/ 18 bado NSSF hawajawalipa wastaafu kama ilivyo kwenye mpango kazi wao wa kulipa kabla ya tarehe 25 ya mwezi unaofuata
Kuchanganyikiwa kwa hali ya juu.Leo ni mwezi wa 11 sio ws 12
 
Acha waisome namba ili 2020, wasidanganyike tena
 
Tatizo ni serikali ktk maeneo mawili;
1. Serikali kuchota fedha ktk mifuko hii hadi kupitiliz kiasi cha kuiacha 'uchi'
2. Serikali kuiacha mifuko hii kufanya uwekezaji usio na tija ktk miradi ambayo ni jukumu la seriakli ie kujenga madaraja. Ikumbukwe kuwa viongozi wa mifuko hii walikuwa wakifanya hivyo kwa ajili ya maslahi binafsi (20%).
Uko sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom