Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Nilimiss hekaheka zako na mchepuko jmn 😂😂😂 hivi unapataga mda wa kuspend na mkeo kama unavyospend mama Jasmine kweli
 
Nilimiss hekaheka zako na mchepuko jmn [emoji23][emoji23][emoji23] hivi unapataga mda wa kuspend na mkeo kama unavyospend mama Jasmine kweli
MKE wangu analea sahv, Na Ni mama wa nyumbani.

Sio mshindaji wa nyumban, nikiondoka asbh narud usiku

Labda siku Moja Moja Sana, Tena iwe Ni wikend ya jumapili
 
Mm naona una kipaji cha kutunga story.
Sio story ya kutunga mkuu,

Uyu mchepuko yupo kweli sitanii Wala kudanganya chochote kile Hapa.

Na Baadhi ya memba wenzangu wa karibu sana humu JF na nje ya JF washaonana nae na kabisa Kwnyw maisha ya kawaida ya kila siku.

Kama nnadanganya wanaweza kuja Hapa kunishuhudia uongo, am ready for that[emoji120]
 
MKE wangu analea sahv, Na Ni mama wa nyumbani.

Sio mshindaji wa nyumban, nikiondoka asbh narud usiku

Labda siku Moja Moja Sana, Tena iwe Ni wikend ya jumapili
Anha!! Lkn uwe mara moja moja akuone nyumbn ukiwa unacheza na wtt huwa tunafurah sn hamjui tuu lkn wew unacheza sn na mchepuko kikubwa!! Mmmh!! Ni ushaur tuuu kaka ake😊
 
Anha!! Lkn uwe mara moja moja akuone nyumbn ukiwa unacheza na wtt huwa tunafurah sn hamjui tuu lkn wew unacheza sn na mchepuko kikubwa!! Mmmh!! Ni ushaur tuuu kaka ake[emoji4]
Mke wangu Wala hajui Kama nnamchepuko kwa Sasa,

Anachojua wife Niko Kwnyw harakati zangu, au bar na marafiki[emoji4]
 
Mke wangu Wala hajui Kama nnamchepuko kwa Sasa,

Anachojua wife Niko Kwnyw harakati zangu, au bar na marafiki[emoji4]
Unajua kupangilia sana mistari Chifu, japo sina hakika kuwa ni hadithi njoo....au ni habari ya kweli, hadi nimemkumbuka Kiduku Lilo [emoji847]
 
Mkuu DeepPond nikuulize,
1. How many kids unao?
2. Unatumia mda gàni kubond na watoto, kama unao!
3. Mke ana nafasi gani katika maisha ya mahusiano yako, manake sioni popote mke anahusika..au hii ni exclusive ya mcheps,[emoji23][emoji23]
4. Hujawahi kuwaza kum-upgrade mcheps kuwa mke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…