Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Sio mmoja!Jamaa ana mchepuko mmoja lakini daah tabu tunayoipataaa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Ana bahati sana na jamaa mtoaji ndo maana anakomaa nae,mwingine angekua na uwanja hapoo!Duh,kuna watu wana bahati jmn!
Kwakweli km ana akili inatosha kabisa
Umembeba kwakweli, ni yeye tu
Mungu amjaalie abadilike aseehh!umri unasogea huoo!Bado akili yake haijatulia uyu mwanamke,
sema tunakoelekea sio kubaya Sana, anazid kuimprove
Kuna mabadiliko nayaona kwake, Sema hili la udokozi limenikera.
KabisaaaAna bahati sana na jamaa mtoaji ndo maana anakomaa nae,mwingine angekua na uwanja hapoo!
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daahh!hivi uko serious broo!maskiniiJuz ndo nmetoka dodoma kushughulikia uhamisho wake kikazi ahamie mkoani.
Alimla kimasihara harusini shoo ikawa mbovu[emoji23][emoji23][emoji23]afu mdogo wake mama j nae anaitwa rose mchepsSio mmoja!
Huyu mmoja ni mchepuko permanent ila kuna mwingine, alituambia hapa!ambae anamwibia mwenzie[emoji3]
[emoji3][emoji3]kumbeeAlimla kimasihara harusini shoo ikawa mbovu[emoji23][emoji23][emoji23]afu mdogo wake mama j nae anaitwa rose mcheps
Nani anahamishwa tena,sijaelewa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daahh!hivi uko serious broo!maskinii
Ningekua kidukulilo ningeshindwa Nini kutamka figure za maana kwny stori ili kujikweza.Unajua kupangilia sana mistari Chifu, japo sina hakika kuwa ni hadithi njoo....au ni habari ya kweli, hadi nimemkumbuka Kiduku Lilo [emoji847]
Ndo ukweli huo kakaAaaah wapi?
Sawa bwana mapenzi upofuu!!!Very serious dada angu
Akijibu nishtue,hasahasa swali no 3.Mkuu DeepPond nikuulize,
1. How many kids unao?
2. Unatumia mda gàni kubond na watoto, kama unao!
3. Mke ana nafasi gani katika maisha ya mahusiano yako, manake sioni popote mke anahusika..au hii ni exclusive ya mcheps,[emoji23][emoji23]
4. Hujawahi kuwaza kum-upgrade mcheps kuwa mke?
Kula kimasihara haina formula inaweza ikatokea yeyote hata wewe na popote na mbaya zaidi kwa usiye mdhania unaye mheshimuuu.Wewe ndiye uliyemponza na uzi wako wa kula kimasihara, sisi wengine ni watazamaji tu maana kuingia kaingia kiulaini kabisa, shida ni kujitoa ktk huo Mchepuko [emoji2]
Havitoshi mkuu!!!!Kodi ya nyumba, mafuta ya gari kila wiki, kodi ya meza kila Siku, kazi amemtafutia, bado ghrama nyingine, halafu una sapoti wizi,