Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Nawaambia tu mnunue Kiswaswadu T528Kwa hiyo unataka kumaanisha nini mkuu
Weka picha ya kiswaswadu chako na wengine wakakinunueTangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?
Natumia kiswaswadu naingia jf kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu hakuna mtandao mwingine
Nawewe nae ulikuwa unatumia kiswaswadu kama mtoa mada. Au ni mtu mmoja I'd tofauti.Hahaha hongera mkuu mm nilishindwa
🤓Nawaambia tu mnunue Kiswaswadu T528
Ok inakataa labda niweke kwenye avatar yangu ili mukaoneWeka picha ya kiswaswadu chako na wengine wakakinunue