mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Nimekupata hapoInashika intarnert kuhusu chaji ukishinda jf inakaa siku 3 betri mah2500
Nimekupata hapoInashika intarnert kuhusu chaji ukishinda jf inakaa siku 3 betri mah2500
Vizur kama umenipataNimekupata hapo
Yap hujakoseaUtoto raha sana... Kwa hiyo na ww ni great thinker au sio
Sawa.!Technology ilivokuwa kubwa hivi!!
Mtu anatumia Opera mini 4!! Ya mwaka 2006!! Afu yuko proud kabisa
Dunia IPO kwenye,
Artificial intelligence
Big Data,
Ios 26.5,
Android 17,
Window 11,
Linux kenel version 7.1.x
Yaani kama ni kwenye Kilimo wewe unatumia mawe kulimia,!
Haka cha kuwa nachoYeah halafu sehem ambayo smartphone inakataa failed t520 ndo inashika balaa
Kwani inakuletea taarifa za uongo za jamii forum? Ishu ni kupata access ya kuingia humu, hizi simu kubwa ukienda maeneo yasiyo na mtandao utajua ni mzigo.Technology ilivokuwa kubwa hivi!!
Mtu anatumia Opera mini 4!! Ya mwaka 2006!! Afu yuko proud kabisa
Dunia IPO kwenye,
Artificial intelligence
Big Data,
Ios 26.5,
Android 17,
Window 11,
Linux kenel version 7.1.x
Yaani kama ni kwenye Kilimo wewe unatumia mawe kulimia,!
Nlikuw nafanya hivyo 2017-2020 nilipokuja kumiliki smartphone yangu, bando la jero unatumia miezi sema mie Kuna muda lilikuwa linakata Kwa kudownload nyimbo na video sometimes, but it's so amazing 🤩 🙌Tangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?
Natumia kiswaswadu naingia JF kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu, hakuna mtandao mwingine
Kama una uhakika sawaWrite your reply...
Operamini ina ubia na baadhi ya nchi za africa mfano kwa africa mashariki ukitumia laini ya airtel unatumia mtandao bure kuperuzi bila mb kabisa