Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

kuna wakati nilikuwa naingia Jamii forum freely kupitia free basics kule facebook. sijui nini kilitokea ile huduma ikapotea.
Tangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?

Natumia kiswaswadu naingia JF kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu, hakuna mtandao mwingine
kati
 
Back
Top Bottom