Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

Tangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?

Natumia kiswaswadu naingia JF kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu, hakuna mtandao mwingine
Chai
 
Na unapata burudani sana na wale wenye smart 🔥

Akili mtu wangu

N Sawa na wale wanaoenda kwenye comedy shows, wanaolipia 10k wanacheka na wanapata burudani sawa na wale wenye KUJIFANYA upuuzi wa VVIP
 
Bando la sh 500 unatumia mwezi mmoja!!
Kama hutajenga mwaka huu basi uzembe wako🤣
Akili ya hv cjui hua mnaitoa wapi, vp kama hana pesa ndo mana ananunua hilo bando sasa atapataje hy pesa y kujenga?
 
IMG_1630.jpeg
 
Back
Top Bottom