Hongela kijanaTangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?
Natumia kiswaswadu naingia jf kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu hakuna mtandao mwingine
TUMA VOCHA YA BUKU TTCL 0738506206Nilipoibiwa simu janja nilipotez matumaini kwamb sitaonekana jf tena mpaka cm kubwa, umenifumbua macho nimelog in kutumia ki tecno msukuma ona saiv nipo online. Mtoa mda tuma lipa number kabla sijaenda kununua cm kubw
🤣🤣🤣Nawaambia tu mnunue Kiswaswadu T528
Yeah kanunue na wewe natman smartphone ila bajeti ndogoUna kitu usikilizwe
Nitafanya hivo na simu kubwa nitaitumia pale inapobidiYeah kanunue na wewe natman smartphone ila bajeti ndogo
Wayback 2008 java na Symbian phoneWengi tumeanza na swaswadu.
Magem java kama yote na download kupitia Phoneky.com dedomil.com waptrick.com n.kWayback 2008 java na Symbian phone
Itakuwa vie viswaswadu vya wamasaiWeka picha ya kiswaswadu chako na wengine wakakinunue
Unavijua mkuuItakuwa vie viswaswadu vya wamasai
hahahaha!Kumbe tupo wengi na mimi natumia kiswaswadu,tokea niweke mb za buku ni miezi miwili sasa imepita na bado mb zipo za kutosha!Tangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?
Natumia kiswaswadu naingia JF kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu, hakuna mtandao mwingine