Tangu nijiunge JF, nimeweka bando la Tsh. 500 tu, mpaka leo halijaisha! Unajua kwanini?

Hongela kijana
 
"E="Nexltshahda, post: 56340889, member: 834057"]
Nilipoibiwa simu janja nilipotez matumaini kwamb sitaonekana jf tena mpaka cm kubwa, umenifumbua macho nimelog in kutumia ki tecno msukuma ona saiv nipo online. Mtoa mda tuma lipa number kabla sijaenda kununua cm kubw
[/QUOTE]" Hahahaha weka vocha 0738506206 TTCL 1000 Tu inatosha kwenye hela sitaniwi
 
hahahaha!Kumbe tupo wengi na mimi natumia kiswaswadu,tokea niweke mb za buku ni miezi miwili sasa imepita na bado mb zipo za kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…