Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
ChaiTangu nijiunge JF nimeweka bando la mia tano tu mpaka leo bado sijaweka tena na nimeweka miezi kadhaa nyuma mpaka najiunga JF ndo hilohilo mpaka leo unajua kwa nini?
Natumia kiswaswadu naingia JF kupitia opera mini kwa siku natumia mb 5 au 4 tu na nimeweka 500 bila kikomo MB 240 na natumia JF tu, hakuna mtandao mwingine
Ni mtandao gani huo unapata MB 240 bila kikomo?
Sportpesa na betika unaingia, ila bookie wengine ambao web zao ziko mwaka wa mbele huwezi kuingia.Kanaweza kuingia sportpesa au betika?
TTCL bando linaitwa bufee, ukitaka dakika unapewa 75 kw sh. 500 mitandao yote bila kikomo cha muda.Ni mtandao gani huo unapata MB 240 bila kikomo?
Ww n wakike au wakiume?TUMA VOCHA YA BUKU TTCL 0738506206
Akili ya hv cjui hua mnaitoa wapi, vp kama hana pesa ndo mana ananunua hilo bando sasa atapataje hy pesa y kujenga?Bando la sh 500 unatumia mwezi mmoja!!
Kama hutajenga mwaka huu basi uzembe wako🤣
HATA MM NASHANGA!!Akili ya hv cjui hua mnaitoa wapi, vp kama hana pesa ndo mana ananunua hilo bando sasa atapataje hy pesa y kujenga?
Usiwe serious sana na mambo ya jf.Akili ya hv cjui hua mnaitoa wapi, vp kama hana pesa ndo mana ananunua hilo bando sasa atapataje hy pesa y kujenga?
Dahh🤣Uzi wa kimaskini 😂😂
Tecno msukuma ndio nini?Una kitu usikilizwe