Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikivutiwa sana na SERAN

Wakulaumiwa n nyege za vijana 😂

Baby girls wngn humu wanatoa stress zao, vijana na nyege zao chap wanapandisha uzi
Hapa utakuta madogo wanamzikia seran kinoma yapo tayari kufanya lolote wapewe pa kumwagia lakini offline huko kuna mwana akiona text ya seran anaona kero hajibu full kumgrey tick, akitaka mzigo simu moja tu seran anatoka nduki hata nguo ya ndani hakumbuki.....

Nimewaza tu, msinitukane babu yangu kawekewa vikwazo na Marekani.
 
Huyo atakua baba mwenye nyumba wake mkuu
 
Uwiii hii ni maajabu😆

Hayo yapo, ila sio kwangu aisee!😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…