Tangu nimeoa naona nafaidika sana na ndoa yangu

Sawa
 
Chunga
 
Tupo siti moja mkuu.
 
Tuwekee picha ukiogeshwa na jinsi unavyochambwa pia....nitakununulia soda na andazi moja.
 
Wataalamu wa Ndoa hivi mnaweza kutupa makisio hii ndoa itakuwa na muda gani?!

Anyway, mimi kama mwanafunzi wa Taaluma ya Mambo ya Ndoa, especially kwa kutumia notice za mwalimu wangu, naweza kufanya makisio yafuatayo kufahamu umri wa hii ndo....

1. Kwichikwichi hadi mimba = Miezi 4
2. Matunzo ya Mimba = Miezi 9
3. Ukiona tambo za hivi, huyu hajaanza kulipa ada ya shule, kwahiyo mtoto atakuwa na maximum of = 2 years

Adding them together 4 + 9 + 24 (2 years) = 37 months/ 12 3 years, 1 month.

So, the ndoa ina umri wa kati ya miaka 3 hadi miaka 3 na miezi 6!
 
Una Mda gani mkuuu katika ndoa
Umri wenu wanandoa

Nijibu nikushauri


Time will talk
 
Jipe muda mkuu wala usione tabu ku share furaha ya ndoa yako, kwa experience yangu wewe umeshajaa, yani umewekwa kati, siku yako inakuja pale utakapobadilisha mfumo uliozoeleka, ishi naye kwa akili
 
Hongera sana mkuu kwa kupata kitu adimu,muhumu sala na mombi ili shetani asiweze kufanya yake...
 
 

Attachments

Khee unaogeshwa mkubwa mzima

Vipi na mafuta unapakwa Yale ya babycare

Enewei mtaaachana tu
Nasemaaa mtaaachana tu
 
Bado Sana ungekuwa na miaka zaidi ya ishirini ujumbe wako ungesound Kwa sasa bado unatambaa kabisa


Na hujui majukumu yako unashadadia ulioa ili akufurie, akupikie, na NK

We jamaa hujui wajibu wako umemlemea mkeo subiri siku ameanza naniliii
Tangu enzi na enzi wanawake wamekuwa wakitimiza majukumu niliyoyataja hapo juu kwa waume zao na ndoa zilikuwa zinadumu sana

Mkuu nikwambie tu kwa kifupi naenjoy maisha ya ndoa kwa sasa ya huko mbeleni siyajui
 
Porojo dot com, wanawake wa sasa hawezi kutumia jina lako labda kama hajakwenda shule umeoa Mwantumu.

Wenye akili timamu watakuwa wameelewa nimeandika.

Thread yako ni soga tu la kubuy time.
Sawa wewe usiye na porojo

Wangu anatumia jina langu, ni msomi tena wa chuo kikuu cha taifa!

Baki na mawazo ya makupuku wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…