Tangu nimeoa naona nafaidika sana na ndoa yangu

Mleta mada enjoy.
Baada ya miaka 10 tuletee mrejesho
Ndoa hizi za mwendokasi ukiweza kufikisha miaka 10 basi ujuwe mmeshinda vita na mna haki ya kufanya bonge la Anniversary kama mshiko unaruhusu.

Time frame ni miaka mitatu tu, rangi zote utaziona. [emoji23][emoji23]
 
Hahaha kweli kabisa.

Malalamiko mengi ukiuliza mna mida gani toka muoane wanakujibu mwaka au miaka miwili!!!
 
Nakupa hongera sana kama kuna upendo wa kweli basi Mungu awabariki, pia nakupa angalizo kidogo.

Hizo faida unazoziona kwa upande wako hakikisha zinaonekana upande wa pili kwa mlingano uleule ili mzani usije kuelemea upande mmoja. Maana siku hizi upendo ni adimu sana. Kukiwa na upendo mapungufu huwa hayaonekani.

Ongeza kiwango cha upendo zaidi mambo yaendelee kunoga ili isije kuwa badala ya wewe kutwambia mazuri unayofanyiwa tukaanza kuambiwa mabaya uliyoyafanya muda wote huo ulipokuwa unafanyiwa mazuri.

Maana hakuna siri baada ya mfarakano.
 
Kweli watu mnapitia magumu sana, mioyo yenu imejaa machungu balaa[emoji2297][emoji2297]
Poleni sana
 
Kiufupi ndoa imekufanya kilema sio eeh!?
 
2023 uzi utasomeka hizi 👇👇
HUYU MWANAMKE AMEBADILIKA BAADA YA MIAKA MIWILI YA NDOA
 
Kweli watu mnapitia magumu sana, mioyo yenu imejaa machungu balaa[emoji2297][emoji2297]
Poleni sana
Hongera unayepitia mazuri, moyo wako umejaa furaha na amani tele.

Hongera.
 
Ulikuwa hujui ??
Walikuwa wanakudanganya tu wenzako ili uishie kuitwa malaya na maneno ya ajabu mwisho wa yote wakupoint kila daily .
Huo ndio uamuzi wa busara.
Hongera ndoa tamu pale unajitambua na umejitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…