Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

Mkituonja na sisi tunapata jibu kama tufunge pingu za maisha ama tuendelee kutafuta

Wanaume walivyo wachache usipoonja unaweza kujikuta unaolewa na mwenye mashine inaamka mara moja kwa mwezi
Hapa nimekuelewa[emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Mkituonja na sisi tunapata jibu kama tufunge pingu za maisha ama tuendelee kutafuta

Wanaume walivyo wachache usipoonja unaweza kujikuta unaolewa na mwenye mashine inaamka mara moja kwa mwezi
duu Ni hatari kumbe Haka kamchezo pande pia za kE znakapenda Sana[emoji1]
 
Hapo mzee kaseja hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…