Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Njia ikikosewa unasikia anasema...Acha uongo wewe, dont tell me unatoa tamu kwenye giza tu [emoji3]. Njia ikikosewa utafanyaje? Maana mimi napendelea sana kwenye mwanga [emoji4]
Acha uongo wewe, dont tell me unatoa tamu kwenye giza tu [emoji3]. Njia ikikosewa utafanyaje? Maana mimi napendelea sana kwenye mwanga [emoji4]
I know...teh!We ni chizi Jo...hahaha
Wala sipendiInaonyesha unapenda Moto sana wewe! Umeshinda kungwi.
Swali: Ni mtamu? Ana mnato? Basi endelea tu vya usiku gizani...Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Haha! One day wanna hear your story someone alikukunja moyo!..Wala sipendi
Nafanya basi tu kwasababu genye hazina baunsa
Stori ipo...hujaiona labdaHaha! One day wanna hear your story someone alikukunja moyo!..
Wanna read it ndo nijue kweli hazina baunsa..😂Stori ipo...hujaiona labda
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwisha habari yako!
Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa, ndivyo alivyo? au kuna kitu anakifanya na kunificha bila mimi kujua? Msaada wa mawazo please.
Kosa kubwa sanaHapana, hatukuonjana kwakweli... Nimemuonja baada ya kumuoa
Duuh!!! Mkuu Kama kuna mahali panaitwa mbinguni, basi wewe ni miongoni mwa wachache watakaofika hukoHapana, hatukuonjana kwakweli... Nimemuonja baada ya kumuoa