Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Me sina msaada wowote ila kwa ambao bado hamjaoa usiruhusu mwanamke wako akuzidi kipato kamwe, narudia tena true love is a scam, don't fall for that maisha yako yote
 
Ulikosea tangu mwanzo. Ilibidi huyo mwanamke umwachishe kazi kipindi umemuoa tu. Abaki nyumbani ili hata na wewe ulivopata matatizo ya kikazi mnakua sawa wote majobless mnalala na njaa safi kabisa na anakua anakuheshimu. Au The unpaid Seller unasemaje.

Wanaume wenzio humu jf hawataki utani wanawake hakuna kufanya kazi washinde tu nyumbani. Hata mambo yao yakiyumba wanakaa wanaangaliana tu
 
Kwani nawewe ni wa marangu?
 
Nenda dawati la Jinsia hio ni domestic violence too bad this case n mubaba 😁😁
 
Unawaza wakati mwanamke ana kazi sisi wajuba tunatelekeza watoto wakati mama zao hawana kazi
 
Mambo ya kawaida hayo😁😁😁😁

Hata ninyi mnaoona ndoa zenu zipo poa zinaenda vizuri ni kwasababu tu mkono unaenda kinywani hapo nyumbani.

Ila mambo yakienda ndivyo sivyo asilimia 68 mtaonja joto la jua😂

Tofauti ni window period ya uvumilivu wengine mapicha picha yataanza mapema wengine itafika miaka 2 ndio ianze wengine hata 5yrs😁
 
Tunasemaga humu wanaume kuoa mtumishi sio kupunguza ukali wa maishaaa.

Haya pambana na jengele lako. Amkaaa katafute hata vibarua uhudumie familia yako vinginevyo fua chupi maana mshabadilishana majukumu hapo mume kawa mlea familia mke kawa mtafutaji kwa jasho.
 
Wale waliosema wanaoa ili wake zao wawasaidie kipindi mambo ni magumu(kiuchumi na kiafya) njooni hapa mtuambie imekuaje kwenye hii kesi ya jamaa.

Nawashangaaga sana wanaume wa hivyo. Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.

Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.

Pesa zangu ni zangu.
Ova.
 
Unaambiwa siku Eva alipoleta chakula mezani [ Eva alipoleta tunda Adam ale] ndipo bustani ya Eden ilipofia hapo. Huyo hakua mke anayekupenda alipenda kazi,aliolew na kazi yako siyo wewe
 
Amwachishe kazi tena????? Ooooh god yaani mfano Leo aje mtu anichishe kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hell no apite kushoto kwakweli.
 
 
Sikiliza utapigwa mimba za kutosha then unaachwa kama kawa ukiwa mpuuzi
 
Wala usichoshe watu mkuu, hapo huna mke umeona takataka! Dunia hii imejaa wanawake wapumbavu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…