My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Me sina msaada wowote ila kwa ambao bado hamjaoa usiruhusu mwanamke wako akuzidi kipato kamwe, narudia tena true love is a scam, don't fall for that maisha yako yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km haoni juhudi zako achana nae mara moja, usigeuke nyuma.mkuu sina tabia ya uvivu, napambana sana hapa home natoa hela ya matumizi na pia nahangaikia kazi sehemu nyingine
Kwani nawewe ni wa marangu?Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Witnessj unakunywa kinywaji gani nikupongeze kwa hiyo pp yako Mama ? [emoji847]Ni nature mkuu sio sisi[emoji1745][emoji1745]
Wale waliosema wanaoa ili wake zao wawasaidie kipindi mambo ni magumu(kiuchumi na kiafya) njooni hapa mtuambie imekuaje kwenye hii kesi ya jamaa.
Unaambiwa siku Eva alipoleta chakula mezani [ Eva alipoleta tunda Adam ale] ndipo bustani ya Eden ilipofia hapo. Huyo hakua mke anayekupenda alipenda kazi,aliolew na kazi yako siyo weweHabari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Amwachishe kazi tena????? Ooooh god yaani mfano Leo aje mtu anichishe kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hell no apite kushoto kwakweli.Ulikosea tangu mwanzo. Ilibidi huyo mwanamke umwachishe kazi kipindi umemuoa tu. Abaki nyumbani ili hata na wewe ulivopata matatizo ya kikazi mnakua sawa wote majobless mnalala na njaa safi kabisa na anakua anakuheshimu. Au The unpaid Seller unasemaje. Wanaume wenzio humu jf hawataki utani wanawake hakuna kufanya kazi washinde tu nyumbani. Hata mambo yao yakiyumba wanakaa wanaangaliana tu
Nawashangaaga sana wanaume wa hivyo.
Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.
Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.
Pesa zangu ni zangu.
Ova.
Sikiliza utapigwa mimba za kutosha then unaachwa kama kawa ukiwa mpuuziNawashangaaga sana wanaume wa hivyo.
Uoga wa majukumu unafanya wanaume wasiwe na sauti ya kiume sikuhizi wamebaki kama makondoo.
Binafsi nasema kabisa asije mtu kunioa akategemea nimsaidie maisha, aje afanye majukumu yake kama mume nitamzalia na watoto nitalea.
Pesa zangu ni zangu.
Ova.
Wala usichoshe watu mkuu, hapo huna mke umeona takataka! Dunia hii imejaa wanawake wapumbavu sana!Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.