Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Hahahahahah nina mwaka wa 5 sijabadili mwanaume.
Pokea taarifa tafadhali.
Mwaka wa 5 na anasugua tu mbususu yako,, hana hata mpango wa kukuoa[emoji23][emoji23][emoji23],,,, unafikiri yy mjinga? Hapana, n kwamba anakuona kama chombo cha starehe

Yaan kaona hakuna mke hapo,,, n kukupelekea tu moto, akitaka kuoa anaenda kuoa anaejielewa,,, ambae haombi ombi hela, ambaye anaweza kutekeleza majukumu yake kama mwanamke sio ww feminist!!!!
 
Kama wanawake wenyewe ndio hivi waoji wana kazi 🤣🤣🤣🤣
 
neno hapana uhakika hapa limetumikaje? matumizi nyumbani ni mimi natoa japo kutokana na shida hela za matumizi yake binafsi sijampa kwa muda kidogo
Mchaga wa rombo mwanaume hatakiwi kuoa vunjo ila wa vunjo anaoa rombo vizuri tu nawanakua na maisha mazuri , mrombo anaweza kuoa kibosho na uru tu ,huko uchagani kwingne lazima mwanaume wa rombo aisome namba , ila wadada wa rombo wanafaa kuolewa na mchaga yoyote.
 
Umegonga mule mule....yaani sio wanaume sio wanawake wote tunakuwa na backup plan. Demu msambwanda ukilegea tuu unaenda jipoza kwa msambwanda new
 
Unaambiwa siku Eva alipoleta chakula mezani [ Eva alipoleta tunda Adam ale] ndipo bustani ya Eden ilipofia hapo. Huyo hakua mke anayekupenda alipenda kazi,aliolew na kazi yako siyo wewe
Nakutafuta sana
 
Kuna jamaa yangu naye anapita kipindi kama chako. Kafirisika biashara. Hila biashara ya mwanamke ipo juu. Anaona Dunia kama jehanamu. Unyumba hapewi yupo too stress. Kaenda kutafuta vibarua Maboss wa Kibongo ndo hivyo Hela zinachelewa kutoka. Shida apigi vyombo. Sometimes vyombo vinaondoa stress vikipanda na mziki utacheza siku inaisha vizuri. Hila sio vyombo vya kujikataa na kuwa mchafu hivyo utakuwa rejected hata mbwa anakukimbia.
 
 
pole sana . wanawake wanaamini kwenye pesa ukiwa huna kitu lazima akudhrau
 
Kwa hiyo ulitegemea ukimpiga ataacha kazi arudi kwao Vunjo!
 
Ndugu Pole kwa changamoto hii.
Unapowaza kumfukuza wakati huna kazi utaishije na mtoto?au unamfukuza aondoke na mtoto na wewe urudi kwa wazazi wako.?
Anyway nakushauri tafuta kitu cha kufanya upate walau 500 kwa siku, kazi sio kuajiriwa tu..
 
Afukuze ale nn wakati hana kazi
 
pole sana . wanawake wanaamini kwenye pesa ukiwa huna kitu lazima akudhrau
Sisi ndyo tumewapaa sabbu ya kuamini kwenye pesa bila ubabe na kuamua hutatoboaa apo kamaa unaweza tfuta connection mkoa mwingine ataa kazi ya kawaida kabisa tafuta Mali mliyonayo apo uza ondoka ata usiage katafute maisha yakko mbele ukiendelea kukaa apo wallaah utapata kessi ya mauwaji au kujerui ukajikuta jela
 
Utashangaa ukiondoka hatakubali atakubembeleza sana usiondoke ....atasema yote...sometimes mafanikio ya wanawake huchangiwa kuwa mtu stable nyuma yake ....akiwa alone wakati mwingine hawawezi .....fanya kuondoka utashangaa...pole sana pia muda ni mwalim mzuti sana plus uvumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…