Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Nilidhani nimeona yote kumbee ndio kwanza mapya haya

Ushauri tu,uwe na kazi au usiwe na kazi,nyumbani usikae kabisa...uwe unaonekana Jumapili tu!

Regardless!
 
Nilidhani nimeona yote kumbee ndio kwanza mapya haya

Ushauri tu,uwe na kazi au usiwe na kazi,nyumbani usikae kabisa...uwe unaonekana Jumapili tu!

Regardless!
Sasa Wyatt, huoni kwamba unaweza kutoa nafasi kwa mkeo kupatwa na vishawishi? Huoni week moja kutoonana na mkeo ni muda mrefu mno? Utamuingiza majaribuni kwenye kuku cheat!
 
Sasa Wyatt, huoni kwamba unaweza kutoa nafasi kwa mkeo kupatwa na vishawishi? Huoni week moja kutoonana na mkeo ni muda mrefu mno? Utamuingiza majaribuni kwenye kuku cheat!
Hapana

Ni kwamba anaenda kwenye mihangaiko asubuhi mpaka jioni ndio anarudi,ila home full time labda Jumapili tu

Katikati ya wiki kukaa home full time ni kitu cha ajabu kabisa uwe na kazi au usiwe na kazi!
 
Maisha hayana formula, kuna Watu wanaamka alfajiri sana na kwenda kutafuta riziki na bado anakosa, alafu kuna wengine wao wanashinda Nyumbani au Bar huku wanalewa tu na wanaingiza pesa bila shida!!
 
Dah,pole Mkuu
 
Maisha hayana formula, kuna Watu wanaamka alfajiri sana na kwenda kutafuta riziki na bado anakosa, alafu kuna wengine wao wanashinda Nyumbani au Bar huku wanalewa tu na wanaingiza pesa bila shida!!
Mwanaume asikae nyumbani nakuwaga against hiki kwahio Mwanaume awe mkimbizi maisha yote wewe kutoka aaubui kurudi usiku home mpaka jumapili kazi tu ndio inifanye hivyo ila kwa matakwa yangu kazini asubui hadi saa 8 nipo home nafanya side hustle za online au nikijitapa nitakaa full time napiga home office siishi Kama digidigi
 
Maisha hayana formula, kuna Watu wanaamka alfajiri sana na kwenda kutafuta riziki na bado anakosa, alafu kuna wengine wao wanashinda Nyumbani au Bar huku wanalewa tu na wanaingiza pesa bila shida!!
Maisha ya bahati nasibu namna hiyo na kuangalia eti fulani hivi mara vile akapata pesa ni useless

Huwezi ishi namna hiyo

Strong formula ni kwamba ili upate kipato huna budi kuhangaika,probability ya chances ya kupata within hiyo mihangaiko ni kubwa kuliko kukaa,sio kwamba ni guarantee utapata,ina increase chances!

Wewe kama unaweza kukaa home au baa ukapata hela then good for you!

Lakini ni misguided ukisema kwa wananchi milioni 60 eti wakae home au baa eti watapata hela eti sababu uliona fulani na fulani wakikaa bar wakapata hela

Yaani very suspect way of thinking
 
Pana watu wapo bar wanabeti,wengine ofisi zao madili Yao bar kijiwe Cha kukutana kusaini au kujaza documents, wengine biashara zao zipo online wanaingiza pesa wakiwa bar, wengine alfajiri wanafunga hesabu mfano wauza ticket mabus,madalali sokoni
 
Moja ya mashairi ya msanii GAFLA BIN VUU...

""PATA PESA TUKUJUE TABIA..FIRISIKA TUYAJUE YA MKEO""
 
Sasa Wyatt, huoni kwamba unaweza kutoa nafasi kwa mkeo kupatwa na vishawishi? Huoni week moja kutoonana na mkeo ni muda mrefu mno? Utamuingiza majaribuni kwenye kuku cheat!
Kucheat ni tabia ya mke malaya hata awe analala nayo ataenda nje kuriridhika pepo lake la ngono.
 
Kwanini umesema Usangi? Unatokea Usangi?
 
1) She has started to be insecure as a MAN is expected to be a provider by Hooks & Croocks !!!
2) About SEX !!! Where do you expect her feelings to come !!!?? While at the moment she is seeing you as NOT MAN ENOUGH !!!
3) Any decision should be well thought for the benefits and wellfare of your Offspring !!
4) By the way you should have seen that coming the very first time you decided to marry her (Vunjo !!!..... You need to be tough !!!
as positivity and results oriented is the way !!!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…