Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakugajenna njaa kwani hana ndugu au marafiki mpaka aendelee kukaa na huyo ndugu yake shetaniEti umemaanisha "kufa na njaa" au!?
Nilidhani nimeona yote kumbee ndio kwanza mapya hayaHabari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Sasa Wyatt, huoni kwamba unaweza kutoa nafasi kwa mkeo kupatwa na vishawishi? Huoni week moja kutoonana na mkeo ni muda mrefu mno? Utamuingiza majaribuni kwenye kuku cheat!Nilidhani nimeona yote kumbee ndio kwanza mapya haya
Ushauri tu,uwe na kazi au usiwe na kazi,nyumbani usikae kabisa...uwe unaonekana Jumapili tu!
Regardless!
Mkuu lakini tofauti na wanawake wakizungu wao wanapenda mwaume akae nyumbani .pole sana . wanawake wanaamini kwenye pesa ukiwa huna kitu lazima akudhrau
HapanaSasa Wyatt, huoni kwamba unaweza kutoa nafasi kwa mkeo kupatwa na vishawishi? Huoni week moja kutoonana na mkeo ni muda mrefu mno? Utamuingiza majaribuni kwenye kuku cheat!
Uwe unaenda wapiNilidhani nimeona yote kumbee ndio kwanza mapya haya
Ushauri tu,uwe na kazi au usiwe na kazi,nyumbani usikae kabisa...uwe unaonekana Jumapili tu!
Regardless!
Maisha hayana formula, kuna Watu wanaamka alfajiri sana na kwenda kutafuta riziki na bado anakosa, alafu kuna wengine wao wanashinda Nyumbani au Bar huku wanalewa tu na wanaingiza pesa bila shida!!Hapana
Ni kwamba anaenda kwenye mihangaiko asubuhi mpaka jioni ndio anarudi,ila home full time labda Jumapili tu
Katikati ya wiki kukaa home full time ni kitu cha ajabu kabisa uwe na kazi au usiwe na kazi!
Dah,pole MkuuHabari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Mwanaume asikae nyumbani nakuwaga against hiki kwahio Mwanaume awe mkimbizi maisha yote wewe kutoka aaubui kurudi usiku home mpaka jumapili kazi tu ndio inifanye hivyo ila kwa matakwa yangu kazini asubui hadi saa 8 nipo home nafanya side hustle za online au nikijitapa nitakaa full time napiga home office siishi Kama digidigiMaisha hayana formula, kuna Watu wanaamka alfajiri sana na kwenda kutafuta riziki na bado anakosa, alafu kuna wengine wao wanashinda Nyumbani au Bar huku wanalewa tu na wanaingiza pesa bila shida!!
Maisha ya bahati nasibu namna hiyo na kuangalia eti fulani hivi mara vile akapata pesa ni uselessMaisha hayana formula, kuna Watu wanaamka alfajiri sana na kwenda kutafuta riziki na bado anakosa, alafu kuna wengine wao wanashinda Nyumbani au Bar huku wanalewa tu na wanaingiza pesa bila shida!!
Pana watu wapo bar wanabeti,wengine ofisi zao madili Yao bar kijiwe Cha kukutana kusaini au kujaza documents, wengine biashara zao zipo online wanaingiza pesa wakiwa bar, wengine alfajiri wanafunga hesabu mfano wauza ticket mabus,madalali sokoniMaisha ya bahati nasibu namna hiyo na kuangalia eti fulani hivi mara vile akapata pesa ni useless
Huwezi ishi namna hiyo
Strong formula ni kwamba ili upate kipato huna budi kuhangaika,probability ya chances ya kupata within hiyo mihangaiko ni kubwa kuliko kukaa,sio kwamba ni guarantee utapata,ina increase chances!
Wewe kama unaweza kukaa home au baa ukapata hela then good for you!
Lakini ni misguided ukisema kwa wananchi milioni 60 eti wakae home au baa eti watapata hela eti sababu uliona fulani na fulani wakikaa bar wakapata hela
Yaani very suspect way of thinking
Moja ya mashairi ya msanii GAFLA BIN VUU...Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Kucheat ni tabia ya mke malaya hata awe analala nayo ataenda nje kuriridhika pepo lake la ngono.Sasa Wyatt, huoni kwamba unaweza kutoa nafasi kwa mkeo kupatwa na vishawishi? Huoni week moja kutoonana na mkeo ni muda mrefu mno? Utamuingiza majaribuni kwenye kuku cheat!
Kwanini umesema Usangi? Unatokea Usangi?Tatizo ulilikaribisha mwenyewe ulipo oa mchaga wa Vunjo. Mimi huwa nawauliza Sana vijana. Kwenu hakuna warembo mpaka mkaoe kwa watu?
Ukiwa msambaa, oa msambaa mwenzio hata mbondei, mdigo na mzigua usiguse. Ukiwa mpare wa usangi, kaoe usangi achana na dada zetu wa Same.
Usioe kwa sababu ya tako. Oa asiye na yako lkn mwenye busara. Wenye mijitako wako tele Dar. Unajipigia mwenye tako mchana jioni Benet na wife flat screen.