Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Vijana Maneno Kama haya hawatakiwi kuskia, wanataka kina kajala type[emoji28]
 
Umeongea UKWELI mchungu Sana[emoji848]
 
Matumiz anayatoa wapi trudie wkt keshakwambia kazi Hana anashinda TU nyumbn?
 
asante mkuu kwa ushauri, huu ni ukweli mchungu natakiwa kuumeza mimi bila kushauriwa na mtu kesho natoka hapa nyumbani nitakuwa natoa huduma za mtoto tuu ndoa imeshanishinda hii
Duuuh aisee pole mkuu najarb kuimagine maumivu yako pole sana..
 
Ni halali ndio,maana kazi hizohizo huwa anakufanyia wewe pia unapoenda kazini(kabla hujaacha kazi).Nyie ni mwili mmoja so hamna shida we fanya tu
 
Nijweli, Vijana tunatamiwa kabla ya kuoa inabidi mpenzi wako akuzoee ukiwa hauna pesa na akukute hauna kipato kizuri ili umjue tabia mapema

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
😀😀😀Kuna jamaa alikuwa na mchumba wakati anafanya kazi. Miezi miwili kabla ya ndoa akatumbuliwa, ndoa ilipofungwa haikuchukua six months ikavunjika.
 
Kuna mtu anamgegeda mkeo, na kutokana huna kazi kwahiyo heshima imeshuka anaona humfai kwa lolote, temana naye mapema mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…