Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

Ikiwa umepanga sio kwako ondoka mwache akae pekee. Kwani anachoheshimu ni pesa sio wewe
 
Nilitaka nisicoment chochote lkn nikaona hapana ili kukusaidia mwanaume mwenzangu. Kaka hapa kwanza ninahitaji kujua mambo kadhaa kutoka kwako;

•Kabla ya kufunga ndoa je mlipata muda wa kuchunguzana kwenye hatua ya uchumba kama ni ndio je ni kwa muda gani?
•Mlifunga ndoa ya dhehebu gani?
•Umri wenu ni kiasi gani ?

Tabia za hawa wakina mama ni kama zinafanana hivi kwa sehemu kubwa,ninayasema haya mimi nikiwa ni muhanga wa unayopitia kwasasa.

Ni kweli kwamba ukiwa unapitia hali hii huwa tunapatwa na mawazo tofauti tofauti wakati mwingine kuna baadhi yetu huchukua maamuzi ya kujitoa uhai kwasababu ya kukwepa fedhea hii, sasa nini cha kufanya iko hivi;

●Muanze kwa kuzungumza wenyewe ndani na usichoke kwakuwa wewe ndio unaiyongoza hiyo serikali yako na ukumbuke wewe ndio mwanaume.(usikubali kuifadhi vitu moyoni vitakuumiza)

●Ikishindikana kwa yeye kuendelea kukuonesha hizo dharau za wazi wazi basi kuna mtu anaitwa (MSHENGA)huyu ni mtu muhimu sana kwenye kuisimamia mahusiano yenu na sio kwa mjumbe au mwenyekiti.

Bado nakazia huyo huyo mshenga kwasababu ya umuhimu wao, kumbuka mambo yenu ya ndani hayatakiwi kutoka nje nukuu pale juu, sio kwa mjumbe wala kwa kwa baba yako au kwao kwanza mpk pale mshenga atakaposema ngoma ngumu hivyo atalazimika kuwaita wazazi wa pande zote mbili na hapo ndio maamuzi ya kibabe yatafanyika.

Nimepitia comenti za wengi wanakushauri ondoka muwachie kila kitu na ukaanze upya Mimi nasema BIG NO🙄 huwo sio uwamuzi wa kiume tena kwa kijana ambae ameoa tena kwa ndoa kabisa,uwamuzi wa namna hiyo hufanywa na hawa vijana wanaokimbilia kuishi na mabinti bila kufata utaratibu hivyo huchukua uwamuzi wa kuacha vilevile kama alivyofanya wakati wa kumchukua kwa kutofata utaratibu.

Naomba nimalizie kwa kusema kwamba mtihani unaopitia kwa hivi sasa sio mtihani mdogo lkn ni namna ya kukufundisha ukomavu kwenye ndoa na ipo mitihani mingi tu na ndio maana huwa tunaambiwa ndoa sio lele mama unapaswa kukaza hawa ndio wanawake tabia zao kwa sehemu kubwa zinafanana wakati mwingine hufanya mambo kwa kushindikizwa tu na marafiki, ndugu au jamaa zao hivyo kwa kuzingatia vikao vya mara kwa mara na mshenga vitawasaidia nyinyi wote kutanua akili zenu na kupata uzoefu kwenye ndoa(Hata mimi mke wangu alianza iyo tabia lkn kikao cha tatu na cha mwisho alikuja kubadilika mazima)hawa wanawake ni kama watoto wadogo sometime unapaswa umstue kwa vikofi miwili vitatu ili ajue upo serious wanafanya vitu kwa kujaribu.
 
Matumiz anayatoa wapi trudie wkt keshakwambia kazi Hana anashinda TU nyumbn?

Amesema pamoja na kusimamishwa kazi ila still matumizi anayatoa yeye mkuu. Kasema anafanya kazi za watu kupitia PC akiwa nyumbani na ndio maana nikamshauri kama matumizi anatoa yeye basi kila mmoja asimame na majukumu yake.

Maana yeye bado anaplay part ya mume kutunza familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoona amekufanyia dhihaka hapo ni moja tu, nalo ni la kuzuia kushiriki tendo la ndoa. Mengine yote hajakosea, wewe ndio unamuda mwingi na wakutosha home[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwanini kupika na kufua uone nongwa. Unakua unapojiwekea scale ipimie na kwako, kama wewe ndio mkewe angebaki home, siungemwambia afanye hivyohivyo isipokuwa kwaupande wa tendo la ndoa. Acha nongwa mzee, hamfanani majukumu ila kama muda unaomwingi hivyo vitu utavifanya. Kinachonikera hapo ni kunyimwa tendo la ndoa tu.
 
Dah! Pole sana kaka,wanawake wengi mawazo yao ni mafupi sana. Pambana ipo siku familia yao itakuheshimu zaidi.
 
Hakuna mwanamke wa kukaa mahali ambapo hapana uhakika hata ukaoe mzaramo wa Samvula Chole eti dela la shughuli hana kisa anakuvumilia *****.
Na vice versa Mwanamke atakukubali na kukuheshimu hata kama kazi yako ni ya kusafisha maliwato ya stendi ali mradi miamala inasoma.

Ila tukubali Dunia ya leo hakuna mapenzi ni unafiki tu...ukiwa nazo Mwanamke ataigiza hata kwa miaka kumi ya ndoa, ila zikipukutika anarudi kwenye uhalisia.
 
Mkuu pole sana kwa hayo majanga ya ndoa, dalili zinaonyesha anakutafutia sababu ya kuachana hivyo jipe moyo utashinda majarabu wala usiruhusu moyo wako uwe wa kwanza kuamua bali yeye ndio ajitoe n hadi hapo keshakupa picha fulani ktk maisha.

Nashauri tafuta namna ya kupata kipato kwa shughuli nyingine ilimradi usikae nyumbani tu. Ukitoka ndio utakutana na fursa kuliko kubaki nyumbani tu.
 
Huu ni ukweli kabisa.
 
Msiachabe, ondoka nyumbani usiage, na asijue ulipo, badili namba ya simu mpe baba yako tu, na nfo ajue ulipo na mweleze why umeondoka, ukifika fanya kazi kwa bidii oa mke mwingine.
Ni njia nyingine ya kukimbia familia yako. Sio uwanaume bali kukimbia majukumu. Ukifilisika, mwanamke atakuonyesha the highest level of disrespect ila sasa, njoo tuone uvumilivu wako maana hicho ndicho kipimo cha uvumilivu wako.

Ukikimbia, basi tusije wasema wanawake maana mwanaume akiwa na pesa nayehuonyesha the highest amount of disloyalty with no love na tunawaambia tuvumilie. Wewe siunapambana ili ufike uko mbali, chakukufanya ukimbie familia ni nini hasa?

Kikombe hichohicho ukinywe boss, lasivyo tusiwalaumu wanawake maana hutoa sababu hizohizo wanapozikimbia familia zao na tunawabeza balaa.
 
Vibao viwili vingempa adabu. Ila wewe ni mdhaifu.
 
Mkuu nakubusu, natafuta mke kama wewe wa kunifulisha nguo. I hope haujaolewa bado!
🤣🤣🤣🤣 baada ya mwezi,ili na ww uwanzishe uzi eeenh?"(nafulishwa nguo na mwanamke wa jamii forum)"
 
Pole sana ndugu yangu, wanawake akili zao ni za kijinga sana ndio maana tuliambiwa ishini nao kwa akili.
 
Positive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…