Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Pole mkuu. Maisha kwa sasa yapoje upande wakoChief jiandae visa vya makusudi apo anatafuta sababu za kutemana .
Hii same story imenitokea juzi tu KWA wife niliempenda na kumuamini .
Badala uchumi kuyumba alitengeneza mazingira ya niwe nakasirika mda wote (namshukuru mungu sikuwahi kumgusa ata singi )
Atatengeneza mazingira ya uwe unamnyenyekea Ili ukasirike .
Vitimbwi vyote atakuletea mwisho wa siku mume utakuwa na hasira zako na tendo la ndoa utalikinai (Izo ni plan baadaye sana ndio utakuja kugundua zilikuwa za makusudi )
Jiandae na vikao maana ataenda kulalamika humtimizi haja zake tendo na huduma za ndani .
Ukweli nilipigana vitimbwi na dharau mwisho wa siku anajitangazia kwao nimemuacha na mbaya zaidi alishapakaza mbaya kwao akaja home kimya kimya akabeba vitu .
Usiku narudi home nakuta godoro tu niliumia sana sikutaka purukushani kupiga piga simu najua sababu mti wa pesa umekauka yote haya yametokea.
Ila yote na yote Jipange Ili usije ukakonda KWA mawazo. Good luck budy
Yeye hela anayoitafuta inafanya kazi ganineno hapana uhakika hapa limetumikaje? matumizi nyumbani ni mimi natoa japo kutokana na shida hela za matumizi yake binafsi sijampa kwa muda kidogo
Nyege zinahusiana vipi na kazi? 😇😇😇Yaan mume akikosa/akifukuzwa kazi automatically na mwanamke nyegeee zinakata hapo hapo on the spot.... hii ni nature mkuu
Mleta maada kasema hata Kama anashinda home lakini mkwanja unaiingia Kama kawa,sema labda Mke wake anataka Jamaa awe na kipato Cha Kama Cha boss wake kisa tu labda anahongwa na huyo boss wake vijicenti ndiyo maana anamzarau Mume wake!!!Pole sana. Toka nje katafute pesa mangi, hakuna heshima yeyote utakayopata kwake kama huna pesa especially kama amekuzidi kipato. Baada ya hizo dharau itafuata usaliti ulio waziwazi. Changamka man.
Kwani mleta maada kasema hana pesa!? Mbona pesa anayo hadi anahudumia familia! Sema wife anataka kuona akitoka asubuhi kwenda kazini na kurudi Jioni, yaani anataka Mume wake awe na ajira, ndiyo Mwanamke alivyo kariri Maisha ya 8 to 5 job!Piga udayworker,kabebe mizigo,kachanganye zege,kachimbe mitaro,kaombe ukondakta nk..
Yupi Bora, Mwanaume anae shinda Nyumbani huku anaiingiza pesa,au Mwanaume anae damkaa asubuhi na kwenda kuzurula bila plani na kurudi home bila kitu na kesho akiamka anaomba tena nauli kwa wife na kwenda kuzurula tena bila mipango!!??Kazi zipo nyingi ajira ndio hakuna. Mwanaume kushinda nyumbani Sio kabisa.
Hujanielewa point yangu mkuu, kazi anaweza asiwe nayo daily kwa sisi wapambanaji sio kila siku ukitoka unapata(vice versa is true), unaweza usitoke kila siku ina uafadhali kuliko kutokutoka kabisa. Kuna watu mwezi unaisha hajatoka kabisa, mishe unazifuata/unazitafuta, hazikutafuti ndio maana ni vyema kutoka.Yupi Bora, Mwanaume anae shinda Nyumbani huku anaiingiza pesa,au Mwanaume anae damkaa asubuhi na kwenda kuzurula bila plani na kurudi home bila kitu na kesho akiamka anaomba tena nauli kwa wife na kwenda kuzurula tena bila mipango!!??
Ni nature mkuu sio sisi[emoji1745][emoji1745]Nyege zinahusiana vipi na kazi? [emoji56][emoji56][emoji56]
mzabzab kumbe unajua ngeliAisee hawa wanawake wakishakuona huna kazi na ndalama haziingi lazima uzione rangi zao halisi 🤣 🤣 🤣 🤣
hapo cha kufanya mwanawane ni kufukuza tuu maana mwanamke mara mia atombwe huko nje lakini sio kuleta dharau wakati mwanawane u are down. piga chini fasta
Nilipitia kipindi kigumu ndani pale kulikuwa na nondo iliyojitokeza kila siku nikilala nilihisi ndio sahihi ya maamuzi (kujiuwa ) nilikonda sana kwa mawazo mtu ulimpa kila kitu mwisho wa siku anakusaliti kisa uje drop kimaisha.Duh! Pole mkuu. Maisha kwa sasa yapoje upande wako
Ofcoz...let not my penchant for mbususu obfuscate my facility with the english language 🤣🤣🤣🤣🤣mzabzab kumbe unajua ngeli
Hao si waelewa sio hizi takataka zetuMkuu mbona wanawake wakizungu wanapenda sana kuwa pamoja muda wote na wanaume wao, yani ukiwa na mpenzi waki Zungu atakuganda muda wote atataka muwe wote.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Huyo mke wako hawana tofauti na wale wa love connect ambao kigezo chao kikuu umeajiriwa au umejiajiri. Na hawa wapo wengi sana.Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili.
Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante sana MUNGU kwa hili).
Shida iliyonileta kwenu ni kuwa hapa karibuni nimepata matatizo ya kikazi sasa imenibidi niwe nashinda nyumbani kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa nje sana nahisi ndipo matatizo yalipoanzia. Tangu nipatwe na hii hali mke wangu amebadilika tabia sijui kama ni makusudi au lah.
Niwe muwazi kuwa mke wangu amenizidi mshahara lakini pamoja na hayo sijawahi kuona tabia hizi kwake hadi hapo nilipopatwa na hizo shida kazini.
Tabia zipo nyingi ila naleta tatu zilizonishitua;
~ Kwanza amekuwa hataki kushiriki nami tendo.
~ Pili sababu huwa nashinda na mtoto huwa napika kwa ajili yangu na mtoto ambapo ye akirudi anapika kwa ajili ya wote kwani anasema sijui kupika. Sasa hapo juzi kati alinambia itabidi nijifunze kupika kama nataka kuendelea kuwa naye.
~ Tatu ni kuwa tuna machine ya kufulia sasa imeharibika, nikamuomba kuwa nikipata hela tutafanya matengenezo akanijibu kama ni hivyo basi niwee namfulia nguo zikiwemo chupi zake daah.
Mimi nimefikiria uamuzi wa kuachana naye licha ya kuwa na mtoto naye, kwani sina mpango wa kumpiga na hiyo juzi ilibaki kidogo nipige arudi kwao Vunjo Mashariki na ulemavu wa uso alivyosema niwe namfulia.
Nauliza tu wanawake wa humu haya anayofanya mwenzenu ni halali kweli?
Siwezi kuishi kumfurahisha mwanamke. Uzunguke ili ubembeleze ndoa na kumfurahisha mwanamke?Kuna vitabia vya kivivu kaviona kwako vinamboa.hata kama huna kazi amka saa 12 kapambane sio unalala mpaka saa tano ukiamka unashindia kwenye TV.All in all wanawake wengi wanadharau sana unapokosa kipato.
Hivi watu hawajui kuwa hata huko kuzurula bila mpango kwenyewe kuna hitaji pesa ya nauli na ya chakula uwe nayo!!Siwezi kuishi kumfurahisha mwanamke. Uzunguke ili ubembeleze ndoa na kumfurahisha mwanamke?
Ndoa inajengwa na upendo na kuvumiliana kwa kila hali. Ningekuwa mimi ndoa ingevunjika siku hiyo hiyo.
Vunjo ndio kwetu[emoji23][emoji23][emoji23]shangazi yangu uyooKwanini ulioa wa vunjo?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama yangu wa mashati pia khaaaankuu hapo ni karibu na nyumbani mashati ndiyo maana