Tangu nizaliwe nimepitia changamoto ngumu ngumu ila hii ya sasa too much. Sasa naweza kusema hakuna jambo la kunipeleka kwa waganga au manabii fake

Team ni kitu muhimu sana kama unaona aibu kumwambia rafiki yako shida zako jua huyo sio rafiki yako. Tafuta mtu ambaye unaweza kumfungukia kila kitu kwa asilimia mia moja mkaelewana. Usijionee aibu na usiogope tabia zako. Kama unapenda mademu tafuta marafiki wanaopenda mademu, kama unalewa mpaka unazima tafuta mtu kama huyo. Hawa ndio watakufanya ujielewe na ukikaa nao ndio utajijua unakosea wapi na muda wa kubadilika ukifika utaanza kuona wanazingua. Ukisjhafika level hii ndio unaenda kutafuta marafiki unaotaka uwe kama wao.
 
Nyota yako ni ipi nikushauri sio kwa pesa wengi wenu fahamu Nyota zenu zipi. Labda Nyota yako ya punda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…