PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama?

Hili limenisikitisha sana maana inaonyesha jinsi gani viongozi wetu ni waoga na hawana uwezo wa kutoa kauli dhabiti kuleta mabadiliko zaidi kwa Taifa, hivi ni kweli changamoto zote za wananchi zimetatuliwa hadi wanashindwa kuwasilisha kwa Rais?

Ni wachache sana wanaweza kutake risk kama Lissu, hata hivyo binafsi sijaona kosa la Mpina jana

Kweli machawa ni wengi kwenye serikali yetu

88.png
 
Wakuu,

Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama?

Hili limenisikitisha sana maana inaonyesha jinsi gani viongozi wetu ni waoga na hawana uwezo wa kutoa kauli dhabiti kuleta mabadiliko zaidi kwa Taifa

Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.

Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.

Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.

Usipotoshe bwana nyumbu.
 
Wananchi ndio wanaishi huko itilima na wala sio mbunge wao. Ikiwa wanaamini katika uwezo wao basi watauonesha mwezi wa kumi
 
Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.

Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.

Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.

Usipotoshe bwana nyumbu.
Siku zenu kutamba zimebaki chache sana

Kushangiliwa namna ile kwa Mpina na kununiwa kwa Samia kiasi kile kukuamshe usingizini
 
Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.

Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.

Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.

Usipotoshe bwana nyumbu.
Au mna subiria mama atoke ndiyo waanze kuongea

Ova
 
Hivyo ndio vitu anapenda kusikia na kuona lakini sio kuambiwa ukweli kwa madudu yake anayo fanya, kile alichofanya jana sikushangaa kwa sababu najua wanawake wengi hutumuia hisia badala ya akili kutoa maamuzi pale anapo kasirishwa, ndio maana watu wanakataa kuongozwa na mwanamke
 
Wamuulize kuhusu mikopo anayo chukua ,, anapeleka wapi ,, na je Zanzibar iko kwenye mgao wa Hilo deni,,
 
Hio itilima ishajifia,

Asilimia ya viumbe unavyoviona huko sio ukionavyo, ni vibwengo,
Hio wilaya idadi ya wachawi na fisi inazidi iadadi ya watu wanaoishi..
 
Wakuu,

Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama?

Hili limenisikitisha sana maana inaonyesha jinsi gani viongozi wetu ni waoga na hawana uwezo wa kutoa kauli dhabiti kuleta mabadiliko zaidi kwa Taifa

Ni wachache sana wanaweza kutake risk kama Lissu, hata hivyo binafsi sijaona kosa la Mpina jana

Kweli machawa ni wengi kwenye serikali yetu

Hiyo ndiyo LEADERSHIP!! Ukiwa kiongozi usicheke na nyani. Gwajima na Luhaga Mpina wote wawili ni wabunge. Walikuwa na muda wa miaka 5 kupaza sauti kwa ajili ya wananchi wao, lakini wao walichagua agenda za kitaifa.

Wanajuwa muda wa uchaguzi bado miezi 4 ndiyo wanataka kuonyesha mbele ya wananchi wao kuwa wanaaatetea?? This is wrong.

Mbunge akileta UNAFIKI na Kiongozi unakuwa MNAFIKI mara 3 zaidi
 
Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.

Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.

Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.

Usipotoshe bwana nyumbu.
Braza wewe unatetea kila kitu tu😅
 
Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.

Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.

Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.

Usipotoshe bwana nyumbu.
UNASEMA KWAMBA MPINA HATAKIWI KUONGEA ALICHOTUMWA NA WATU WALIOMCHAGUA ILA AFWATE ILANI YA MACHAWA TUSIFIE NA KUOGOPA WATU

MACHAWA FAHAMUNI HIVI MBUNGE HAWAJIBIKI NA RAISI ANAWAJIBIKA NA WANANCHI WALIO MCHAGUA

WANANCHI HAWACHAGUI VIONGOZI WA KWENDA KUSIFIA VI TOKEN VINAVYOTOLEWA MKIAMBIWA NI MAENDELEO
YULE MZEE ANASEMA NCHI IMETOKA MBALI NI UKWELI
ILA NDIO IWE SABABU YA UFISADI UNAFANYIKA NCHINI NA CAG AKIWAUMBUA HAWAFANYIWI KAZI, KUKOSEKANA NA HAKI KWA WANAOMKOSOA RAISI NDIO UNASEMA WATU WANACHUKI??

UNAHISI KUWA RAISI NI KULA NA KUSIFIWA TU?
 
Wapi nimesema hatakiwi kuongea? Kasome upya comment yangu ndio uje uandike vitu vya maana na ufute hizi pumba umeandika hapa.
 
Hiyo ndiyo LEADERSHIP!! Ukiwa kiongozi usicheke na nyani. Gwajima na Luhaga Mpina wote wawili ni wabunge. Walikuwa na muda wa miaka 5 kupaza sauti kwa ajili ya wananchi wao, lakini wao walichagua agenda za kitaifa.

Wanajuwa muda wa uchaguzi bado miezi 4 ndiyo wanataka kuonyesha mbele ya wananchi wao kuwa wanaaatetea?? This is wrong.

Mbunge akileta UNAFIKI na Kiongozi unakuwa MNAFIKI mara 3 zaidi
KWA HIO NI MARA YA KWANZA KUMSKIA MPINA AKIONGEA JUU YA WANANCHI WA KISESA KUTAKA ENENO HILO LIWE WILAYA KWANI LINAKIDHI KUWA WILAYA??

RAISI KAKURUPUKA KUONGEA YALE MANENO ANGETAFUTA KURA KWAKUMJIBU VIZURI

UNAHISI MPINA TU NDIO ALIEKUWA ANASUBIRIA JIBU LAKE
HADI WANANCHI WA KISESA WALIKUA WANASUBIRIA HEKIMA YA JIBU LA RAISI

HIVI UNAANGALIA MIKUTANO YA RAISI KATIKA NCHI ZINGINE NI HAKI YA MBUNGE KUELEZA MATATIZO YA WANANCHI WAKE POPOTE ANAPOPATA NAFASI HUO NDIO UONGOZI KWAAJILI YA WATU WALIOKUCHAGUA

HUENDA HUJAWAHI KUMSKILIZA MPINA LAKINI UMEKURUPUKA KUMUONA HE'S WRONG
 
Back
Top Bottom