Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 873
- 628
HILO NENO CHUKI USINGELIONGEA LEO KAMA ANGEMSIFIA RAISI SINDIO ALFU UNASEMA HUJASEMA ASIONGE ILA UNAMAANISHA ASIONGEUkimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,
HILO NENO CHUKI USINGELIONGEA LEO KAMA ANGEMSIFIA RAISI SINDIO ALFU UNASEMA HUJASEMA ASIONGE ILA UNAMAANISHA ASIONGEUkimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,
what do u mean mpina ameshindwa ku "accomplish" ulitaka kumaanisha mpina ameshindwa kusifia walichofanya serkal kwnye jmbo lake?Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake
Uliwahi kujiuliza Serekal inatambua mchango Wako?Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Baadhi ya wagonjwa ni Wanafunzi.....wa secondary. CCM imetufikisha hukuWakuu,
Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama?
Hili limenisikitisha sana maana inaonyesha jinsi gani viongozi wetu ni waoga na hawana uwezo wa kutoa kauli dhabiti kuleta mabadiliko zaidi kwa Taifa, hivi ni kweli changamoto zote za wananchi zimetatuliwa hadi wanashindwa kuwasilisha kwa Rais?
Ni wachache sana wanaweza kutake risk kama Lissu, hata hivyo binafsi sijaona kosa la Mpina jana
Kweli machawa ni wengi kwenye serikali yetu
Ati speaker wa bunge anampa raisi zawadi kwa niaba ya wananchi???Uliwahi kujiuliza Serekal inatambua mchango Wako?
TRA wakupigia makofi ukilipa Kodi au wanakupa Zawadi?
HAKUNA MBUNGE MWENYE AKILI TIMAMU ATASEMA ASANTE KWA SEREKAL KUTIMIZA WAJIBU WAO WAKUTOA WANANCHI WANACHOTAKA
WATU WEUSI HATUJUI WAPI PAKUSEMA NAOMBA NA WAPI PAKUSEMA NIPATIE
Nilikuuliza hiyo chuki binafsi imetokea wapi umeshindwa kujibuUkimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.
Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.
Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Usipotoshe bwana nyumbu.
Hii ni style inayopatikana na nchi zenye viongozi MAFISADIAti speaker wa bunge anampa raisi zawadi kwa niaba ya wananchi???
Yaani mhimili UNA TUNZA muhimili?
Uliona wapi hii???
wabunge wa ccm wanajali kama wanatatuliwa changamoto zinazo wapata wananchi walio waeka Bungeni? ama Pengine wanajali Zaidi Mshahara posho na rushwa?Nimefuatilia maudhui ya alichozungumza mpina jana..sentence kwa sentence, neno kwa neno sijaona kosa la mpina hata kidogo...
Labda na nyie mnisaidie.
Tofauti tu niliyoiona ni kwamba mpina hakutoa sifa kwa Rais..
Sasa tujiulize, je ni wabunge wangapi ambao waliosemea changamoto za majimbo yao bungeni na bado hazijatatuliwa?
Luhaga Mpina ni kichaa, muda wa kuongozwa na vichaa ulikwisha March 17, 2021. Mtu mwenye akili hawezi kupima samaki kwa rula canteen. Huyu mtu wa kupima urefu wa samaki kantinini ana akili gani ya kushauri CCM. Tungemsikia huyu kuhusu sukari mwaka jana, bei ya sukari ingekuwa imefika Tsh 10,000 kwa kilo.KWA HIO NI MARA YA KWANZA KUMSKIA MPINA AKIONGEA JUU YA WANANCHI WA KISESA KUTAKA ENENO HILO LIWE WILAYA KWANI LINAKIDHI KUWA WILAYA??
RAISI KAKURUPUKA KUONGEA YALE MANENO ANGETAFUTA KURA KWAKUMJIBU VIZURI
UNAHISI MPINA TU NDIO ALIEKUWA ANASUBIRIA JIBU LAKE
HADI WANANCHI WA KISESA WALIKUA WANASUBIRIA HEKIMA YA JIBU LA RAISI
HIVI UNAANGALIA MIKUTANO YA RAISI KATIKA NCHI ZINGINE NI HAKI YA MBUNGE KUELEZA MATATIZO YA WANANCHI WAKE POPOTE ANAPOPATA NAFASI HUO NDIO UONGOZI KWAAJILI YA WATU WALIOKUCHAGUA
HUENDA HUJAWAHI KUMSKILIZA MPINA LAKINI UMEKURUPUKA KUMUONA HE'S WRONG