Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.Wakuu,
Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama?
Hili limenisikitisha sana maana inaonyesha jinsi gani viongozi wetu ni waoga na hawana uwezo wa kutoa kauli dhabiti kuleta mabadiliko zaidi kwa Taifa
Ni wachache sana wanaweza kutake risk kama Lissu, hata hivyo binafsi sijaona kosa la Mpina jana
Kweli machawa ni wengi kwenye serikali yetu
Siku zenu kutamba zimebaki chache sanaUkimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.
Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.
Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Usipotoshe bwana nyumbu.
😆😆😆😆😆😄😄😄🤣🤣🤣🤣😁😁😁Siku zenu kutamba zimebaki chache sana
Au mna subiria mama atoke ndiyo waanze kuongeaUkimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.
Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.
Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Usipotoshe bwana nyumbu.
Sawa tuu kwani kutakuwa na impact gani?Au mna subiria mama atoke ndiyo waanze kuongea
Ova
Hiyo ndiyo LEADERSHIP!! Ukiwa kiongozi usicheke na nyani. Gwajima na Luhaga Mpina wote wawili ni wabunge. Walikuwa na muda wa miaka 5 kupaza sauti kwa ajili ya wananchi wao, lakini wao walichagua agenda za kitaifa.Wakuu,
Nilikua naendelea kufuatilia ziara ya Rais wetu uko kanda ya Ziwa akiendelea kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoa wa Simiyu, nimegundua leo Kila Kiongozi anamwaga tu sifa kwa Mama, wenda wanaohofia Kutenguliwa kama Mpina au wanaohofia Mipasho ya Mama?
Hili limenisikitisha sana maana inaonyesha jinsi gani viongozi wetu ni waoga na hawana uwezo wa kutoa kauli dhabiti kuleta mabadiliko zaidi kwa Taifa
Ni wachache sana wanaweza kutake risk kama Lissu, hata hivyo binafsi sijaona kosa la Mpina jana
Kweli machawa ni wengi kwenye serikali yetu
Braza wewe unatetea kila kitu tu😅Ukimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.
Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.
Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Usipotoshe bwana nyumbu.
UNASEMA KWAMBA MPINA HATAKIWI KUONGEA ALICHOTUMWA NA WATU WALIOMCHAGUA ILA AFWATE ILANI YA MACHAWA TUSIFIE NA KUOGOPA WATUUkimtoa Mpina mwenye chuki binafsi na Samia ,hao wengine unaodai wanamwaga sifa hawajawahi Msemaji vibaya Rais.
Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake.
Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Usipotoshe bwana nyumbu.
Wapi nimesema hatakiwi kuongea? Kasome upya comment yangu ndio uje uandike vitu vya maana na ufute hizi pumba umeandika hapa.UNASEMA KWAMBA MPINA HATAKIWI KUONGEA ALICHOTUMWA NA WATU WALIOMCHAGUA ILA AFWATE ILANI YA MACHAWA TUSIFIE NA KUOGOPA WATU
MACHAWA FAHAMUNI HIVI MBUNGE HAWAJIBIKI NA RAISI ANAWAJIBIKA NA WANANCHI WALIO MCHAGUA
WANANCHI HAWACHAGUI VIONGOZI WA KWENDA KUSIFIA VI TOKEN VINAVYOTOLEWA MKIAMBIWA NI MAENDELEO
YULE MZEE ANASEMA NCHI IMETOKA MBALI NI UKWELI
ILA NDIO IWE SABABU YA UFISADI UNAFANYIKA NCHINI NA CAG AKIWAUMBUA HAWAFANYIWI KAZI, KUKOSEKANA NA HAKI KWA WANAOMKOSOA RAISI NDIO UNASEMA WATU WANACHUKI??
UNAHISI KUWA RAISI NI KULA NA KUSIFIWA TU?
Kila chenye maslahi na TijaBraza wewe unatetea kila kitu tu😅
KWA HIO NI MARA YA KWANZA KUMSKIA MPINA AKIONGEA JUU YA WANANCHI WA KISESA KUTAKA ENENO HILO LIWE WILAYA KWANI LINAKIDHI KUWA WILAYA??Hiyo ndiyo LEADERSHIP!! Ukiwa kiongozi usicheke na nyani. Gwajima na Luhaga Mpina wote wawili ni wabunge. Walikuwa na muda wa miaka 5 kupaza sauti kwa ajili ya wananchi wao, lakini wao walichagua agenda za kitaifa.
Wanajuwa muda wa uchaguzi bado miezi 4 ndiyo wanataka kuonyesha mbele ya wananchi wao kuwa wanaaatetea?? This is wrong.
Mbunge akileta UNAFIKI na Kiongozi unakuwa MNAFIKI mara 3 zaidi
Safi sana bwashee ni jambo zuri lakinKila chenye maslahi na Tija