PreGE2025 Tangu Rais Samia atoe mipasho kwa Mpina Jana, Leo kila Mbunge anamwaga Sifa huko Simiyu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pili hoja ya Rais ilikuwa ni Mpina Kushindwa ku accomplish kile Serikali imefanya jimboni kwake
what do u mean mpina ameshindwa ku "accomplish" ulitaka kumaanisha mpina ameshindwa kusifia walichofanya serkal kwnye jmbo lake?
NIGGA KAZI YA MBUNGE SIO KUSIFIAA SEREKALI INAFANYA WAJIBU KAMA UNAVYOFANYA WAJIBU WAKULIPA KODI...
NDIO MAANA MKIPEWA VI TOKEN MNAFURAHI MNASHNDWA KUELEWA TULIPASWA TUPEWE KIZIMA ILA WASHAEKA TUMBONI KWAO WABUNGE WANAJUA HILO
 
Hao wengine wanatambua mchango wa Serikali na wanaomba vingine.
Uliwahi kujiuliza Serekal inatambua mchango Wako?
TRA wakupigia makofi ukilipa Kodi au wanakupa Zawadi?
HAKUNA MBUNGE MWENYE AKILI TIMAMU ATASEMA ASANTE KWA SEREKAL KUTIMIZA WAJIBU WAO WAKUTOA WANANCHI WANACHOTAKA
WATU WEUSI HATUJUI WAPI PAKUSEMA NAOMBA NA WAPI PAKUSEMA NIPATIE
 
Hapo atakuwa anafurahi tu maana ndo moja ya vitu anavyopenda kusifiwa tu...
 
Baadhi ya wagonjwa ni Wanafunzi.....wa secondary. CCM imetufikisha huku
 
Ati speaker wa bunge anampa raisi zawadi kwa niaba ya wananchi???
Yaani mhimili UNA TUNZA muhimili?
Uliona wapi hii???
 
Nilikuuliza hiyo chuki binafsi imetokea wapi umeshindwa kujibu

Nakuuliza tena hiyo chuki imeanzia wapi ,kwanini na lini?
 
Nimefuatilia maudhui ya alichozungumza mpina jana..sentence kwa sentence, neno kwa neno sijaona kosa la mpina hata kidogo...
Labda na nyie mnisaidie.

Tofauti tu niliyoiona ni kwamba mpina hakutoa sifa kwa Rais..

Sasa tujiulize, je ni wabunge wangapi ambao waliosemea changamoto za majimbo yao bungeni na bado hazijatatuliwa?
 
wabunge wa ccm wanajali kama wanatatuliwa changamoto zinazo wapata wananchi walio waeka Bungeni? ama Pengine wanajali Zaidi Mshahara posho na rushwa?
 
ccm inakazi moja tu nayo nikumsfia mwenyekti wa chama hiko hakuna kingine ndio sababu
Mpina alipoongea wananchi tu ndio, waliokuwa wanapiga makofi
na samia alipoongea wabunge na chawa tuu ndio waliopiga makofi..
 
ndiomaana wakisikia NRNE wanaharisha mpaka wanalala vyooni , hakuna watu kule kijani
 
Luhaga Mpina ni kichaa, muda wa kuongozwa na vichaa ulikwisha March 17, 2021. Mtu mwenye akili hawezi kupima samaki kwa rula canteen. Huyu mtu wa kupima urefu wa samaki kantinini ana akili gani ya kushauri CCM. Tungemsikia huyu kuhusu sukari mwaka jana, bei ya sukari ingekuwa imefika Tsh 10,000 kwa kilo.

Achana na loser
 
Ndivyo anavyotaka sasa, wanampa kile moyo wake unapenda...ili afurahi na hijabu lake mama etu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…