Ahahahahah, kwamba anafika airport kwa ndege, anaondoka airport kwa ndege. Msafara unanyanyukia pale pale ikulu.Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji
Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Mwendazake alikuwa anatumia misafara ya magari karibia 50, ukifanya cost analysis, Dar-Dodoma-Mwanza-Chato ilikuwa ghali sana hasa kwa night allowances.Wabongo bhana Dah!!