Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, anatumia usafiri wa ndege tu, gharama zikoje hapa

Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, anatumia usafiri wa ndege tu, gharama zikoje hapa

Licha ya Jiwe kutumia misafara yenye magari mengi na Watu wengi hivyo kufanya convoy yake kuwa gharama zaidi, lakini mbaya zaidi ni kuharibu shughuli za kiuchumi za "wanyonge "anakopita.

February 2021 alikuwa anatoka Dodoma to Morogoro, wasafiri tuliokuwa tunatumia hiyo njia tulisubirishwa maporini zaidi ya 2hrs,ratiba kibao zinaharibika.
 
Shida yajo nini?
Angetumia barabara napo ungrkuja na maneno ya msafara mafuta na askari
 
Kuokoa muda.

Anaondoka dodoma asubuhi jioni anarudi dodoma.
 
Nani kawaambia yale magari ya kifahari hayatumiki sasa hivi? Utofauti ni kuwa sasa hivi yanaenda binafsi bila kuongozana na Rais.
 
Fikiria msafara wa V8 sitini (60) full tank na ndege moja.. Uone unafuu wa gharama uko wapi...
Akitumia magali 60 x lita 300 = 41000000 milioni,
Akitumia ndege 300-200 watu 175 x laki tatu ni kama milioni 57000000 bado magali yatakuja na madeleva kuja kuendelea na huduma ya chini kwa chini ,
Sasa ongeza hayo magalibya chini yatatumia ghalama gani kila moja yakitangulia.
 
Mi naona hii ni cheap kuliko yale magari meeengi ambayo hata yakisimama hua hayazimwi.
 
Gharama ni ndogo ukilinganisha na magari 100 kwenye msafara na helicopter ya jeshi juu ya kusindikiza msafara.
 
Cheaper kuliko magari Mia moja, na watu Mia tatu na kusimamisha miji

Look at the cost holistically, sio kitopolo-topolo
Kwaio unafikir Rais Anasafir mwenyewe kwa kua kaenda na ndege acha ujinga mkuu kwa akili yako umeona watu wote alio kua anafatana nao hawato kuepo kama ataenda na ndege hujui kua ni lazima viongozi wawepo na ni lazima Wasafi kumfata Rais
 
Akitumia magali 60 x lita 300 = 41000000 milioni,
Akitumia ndege 300-200 watu 175 x laki tatu ni kama milioni 57000000 bado magali yatakuja na madeleva kuja kuendelea na huduma ya chini kwa chini ,
Sasa ongeza hayo magalibya chini yatatumia ghalama gani kila moja yakitangulia.
hapo bado wakati mwingine mwendazake jiwe alikuwa anaweka chopa juu.. Hapo hatujaweka gharama za RTO za kila mikoa akipita.. Hatujaweka gharama za wasafiri na malori kukaa pembezoni masaa hata matatu kusubiri msafara upite
 
Yani gharama ya V8 50 mafuta yake ni afadhali ndege kijana..!
 
Jumlisha na gharama za wapambe kwenye magari hayo. Ongezea shughuli za kiuchumi barabarani kusimama.

Mama akomae na pipa tu.

Ngosha apumzike kwa amani, ila na ule ulaji wake wa mahindi barabarani, ukweli mchungu: alituchelewesha sana!
Umesahau na Helikopta moja juu inafuatilia usalama wake
 
Marehemu aliyekua anatumia magari ndio alikua analifisi hili taifa kwakuwa msafara wake ulikua na magari mengi haikuwahi kutokea katika misafara ya viongozi wa nchi hii waliopita.
Alikuwa anakutana na wananchi ana kwa ana na kutatua changamoto zao.....
 
Yani tena kwa ndege ndo kidogo anaokoa gharama. Ule msafara wa magufuli sio mchezo budget yake ilikuwa kubwa sana.
 
Ndege ya Rais ipo kwa ajili ya Rais,, sasa ulitaka atumia baiskeli..???

Msafara wa rais kwa magari unajua gharama yake...?? V8 zote zile zinazokuwa kwenye msafara unajua zinatumia mafuta ya gharama ipi..?
 
Awamu ya tano ilikuwa na hesabu zisizo na maana yaani 1+1-1 = Na Sifa zisizo na tija. Rais anasimamisha gari toka Dodoma hadi Dar watu wote hawafanyi kazi wanajipanga Barabarani, Uchumi unasimama, Huku anamsafara wa gari 70.
Mwisho wa siku anasema anabana matumizi
Utatuzi wa changamoto kwa wananchi anapokuwa anapita ulikuwa huoni!!??....
 
Back
Top Bottom